Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

Jamaa zako wapo chali. Hawakutegemea Zelensky angekaza namna hii.
Sisi tunangoja round 2.....kwa sasa uwanja wenu acha sie tule tende kwanza za mfungo......tukutane baada ya mfungo.........tunawatakia maandalizi mema kwenye media na uwanja wa mapambano
Screenshot_20220409-221154_RT News.jpg
 
Jamaa zako wapo chali. Hawakutegemea Zelensky angekaza namna hii.
😁😁😁 akaze anavyokaza, UKRAINE imeshagawanywa kwa 50% na bahari inachukuliwa,nchi inaenda kua landlocked na shujaa zelensky tutamualika kwny tuzo za Oscar na Grammy aje kuongea Kama kawaida yake kutokea huko mafichoni kwake na tuzo ya Nobel atapewa afu ndo imeisha hio 😁😁😁
 
Watu mlitarajia hasara kwa upande wa Russia iwe ni siri.

That's quite impossible, the level of losses to the Russian invaders have reached an alarming proportions a fact that the Kremlin spokesman Mr. Dmitry Peskov has been at pains to admit.
 
Warusi wamekufa kama kuku. Hapo kwenye askari 1300 ongeza 0 ndio idadi halisi.
Mataifa ya kikomunisti kama Russia wanatabia ya kuficha ukweli
Hakuna taifa lolote duniani ambalo huwa linatoa takwimu sawa vitani iwe Urusi, Marekani, Uingeleza ,hata Tz yaani ki ufupi hakuna taifa lolote duniani ambalo huwa linatoa takwimu sahihi juu vifo vya wanajeshi wake vitani.
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza

Ghorofa zisikupe tabu, issue kubwa ilikua kuhimili nguvu za Urusi, kwa kifupi ni kama timu ya Manchester United ije kucheza dhidi ya Kagera sugar, huyo wa Kagera kutokufungwa mabao 200 ni ushindi mkubwa kwake, yaani mechi inaisha amefungwa mabao 3 kwa 1.
Ndio maana Urusi ana hasira na wakaamua kuua raia.
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
Ngoja nikwambie Kitu. Wazungu wanapendana Sana Kuliko Race yoyote ile Duniani. Inawauma Sana Kuona jinsi Ukraine inavyosambaratishwa na Ndege za Kivita za Urusi,lakini wanashindwa kuingiza Majeshi yao kwasababu Urusi ina Makombora ya Nyuklia.

Marekani kwa upande wake haogopi kabisa Kupeleka Siraha nzito pale Ukraine Kama Mifumo ya Ulinzi wa Anga,Shida ni Nani au mwanajeshi gani wa Ukraine ataendesha Mifumo hiyo ambayo hawajawahi kabisa kujifunza? Pia Marekani inaogopa Siraha zake kuonekana dhaifu endapo Urusi itafanikiwa kuziharibu hata Chache Kati ya Hizo.

Kuhusu kubomolewa kwa Majengo Wala usihofu kabisa,Vita vikiisha hata Leo harafu ikaitishwa harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Ukraine Basi zitapatika Billions Nyingi Sana kutoka kwa Wazungu Matajiri Duniani kote.

Nakupa Mfano. Baada ya Vita vya Gaza Kati ya Hammas na IDF,Majengo mengi yaliharibiwa Sana. UN wakaanzisha Fund Raising ya kuijenga Gaza. Ndani ya Miezi 6 zilipatikana $350M. Lakini Canada na Poland wameanzisha Fund Raising ya kusaidia wakimbizi wa Ukraine,Ndani ya wiki moja zimepatikana $ 11B. Hii Ni karibu bajeti ya Tanzania kwa Mwaka. Kwahiyo Mimi Sina Hofu na Ujenzi wa Miundombinu ya Ukraine baada ya Vita Kama Nchi haitakaliwa na Kiongozi anayeegemea upande wa Russia.
 
Hata wewe mkongwe kiasi wa JF bado hutaki kuwa na mawazo kinzani,wageni wa JF naweza kuwaelewa but siyo mtu ana zaidi ya 5 yrs hapa JF
Ni mawenge ya kile kilichowapata Urusi kule Ukraine, hawaamini.
 
Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa.
_____________

Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery systems, 107 multiple launch rocket systems, 55 anti-aircraft defense systems, 135 helicopters, 150 aircraft, 76 fuel tanks, 96 UAVs and 7 boats.

View attachment 2182172

April-5-2-1024x1024.png
Lete pia hasara aloipata ukrain
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
True, taarifa ile ipo one sided. Ukraine wamepoteza APC, tanks, planes, drones etc ingawa idadi haisemwi

Vita itakapoisha na war crime charges kufunguliwa, Russia atapigwa invoice ya hatari kufidia hasara na atapata taabu sana

Kwa support anayoendelea kupata Ukraine, Russia hatoshinda vita hii. Sanasana atabomoa miundombinu tu ila hatoweza kuikanyaga na kuikalia ile Nchi. Vita ya Donbas inakwenda kumuumbua Putin
 
... habari njema sana hii.

Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa.
_____________

Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery systems, 107 multiple launch rocket systems, 55 anti-aircraft defense systems, 135 helicopters, 150 aircraft, 76 fuel tanks, 96 UAVs and 7 boats.

View attachment 2182172

April-5-2-1024x1024.png
Nakubaliana na hizi facts, kwa sababu jana Putini amembadilisha kamanda mkuu wa vita na kumleta mwengine., Ni baada ya matokeo mabaya bila ya shaka
 
Russia sio Zimbabwe.........hii vita kuisha ni kwamba dunia tayari itakua na wababe wengine hao wamagharibi hata wakilipwa miaka 1000 ila influence ya dunia itakua imeshatoka upande wao
Influence gani ya dunia unayoiongelea wewe ukiwa hapo Tandale kwa Tumbo.
 
Hivi kujenga hayo magorofa ya ukraine yanayobomolewa kila siku ni dollar ngapi na uchumi uliopolomoka ukraine mwezi hamna kazi zinafanyika kweli sisi ukraine hatupotezi russia ndo anapoteza
Mkuu Ukraine hasara imeshatangazwa kuwa ni takriban $560 million mpaka kurejesha miji yote na hii hela tayari imeshapatikana wanayo Ukrean on pocket fuatilia kwenye televisheni tayari kazi imeanza Kyiv jana naviona vijiko vinaanza kutoa vifusi na kuweka usafi wa maeneo

Urusi alifikiri vita ni kuangusha majengo marefu tu kwa kuyapiga mabomu, hospital na vyuo kumbe vita ni utaalamu kumjua adui yuko wapi na kuanza kumshughulikia kitaalamu., Jana namuona Zelensky akiwa na Boris Jonson Waziri mkuu wa Uingereza katika mjengo wa kifahari sana pale Kyiv kumbe Russia vita yake yote aliishia pembeni pembeni tu akachemka na kurudi zake Donbas
 
Back
Top Bottom