Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah upo sahihi Chief very sorry bhana nimekumbuka Yanga wana points 21 ukijumlisha na ile moja kipolo ya muda kama unavyosema zidisha 4 mara mechi 5 utapata 20 kama nimekosea nijulishe...simba wana 35 walibeba point 3 tatu za misimu ya nyuma na Al Ahly anaongoza akiwa na 87 huku Mamelodi wana 51...Eleza zimepatikanaje hizo 21?. Alafu 21 ukiongeza point yenu 1 ya nyuma mbona haiji 25
yanga points 25 walizipaaje arif.Daah haujui kabisa mpira mkuu Yanga kabla hajashiriki alikua na point moja ya miaka ya nyuma msimu mmoja kakusanya point 21 vitu ni rahisi uliza Timu ikifika fainal inapata point ngapi sio makundi...
hatuwezi shangaa tena hizo mambo,yupo Kolo,Raja hayupo we unaona hili kombe au mauza uzaHii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.
Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.
Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.
List yenyewe ni hii:
- Mamelodi Sundowns - South Africa
- Orlando Pirates - South Africa
- Al Ahly - Egypt
- Zamalek - Egypt
- Simba - Tanzania
- Wydad - Morocco
- Raja Casablanca - Morocco
- Esperance - Tunisia
- Etoile Du Sahel - Tunisia
- Canon Yaounde - Cameroon
- TP Mazembe - DRC
- AS Vita - DRC
- Petro de Luanda - Angola
- Power Dynamos - Zambia
- Al Hilal - Sudan
- Enyimba - Nigeria
- ASEC Mimosas - Ivory Coast
- Hearts of Oak - Ghana
- Vipers - Uganda
- Jwaneng Galaxy - Botswana
- AS Bamako - Mali
- CR Belouizdad - Algeria
- JS Kabylie - Algeria
- ASC Jaraaf - Senegal
Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
- Hafia - Guinea
- Berkane - Morocco
- Asante Kotoko - Ghana
- Young Africans - Tanzania
- Africa Sports - Ivory Coast
- USM Algiers - Algeria
- Pyramids - Egypt
Huu mwandiko wa mwana Mbumbumbu FC, yaani bila ubishi Ngada FC ndo timu anayoipenda, yaani huyu ni kolo flani hivi ..!!!awajulikani ulimwengu uwatambui.
Kombe la kuteuliwahatuwezi shangaa tena hizo mambo,yupo Kolo,Raja hayupo we unaona hili kombe au mauza uza
Hawajafika huko mkuu nimerekebisha wana points 21 tuu...yanga points 25 walizipaaje arif.
Tomato sauceSource?
Huu mwandiko wa mwana Mbumbumbu FC, yaani bila ubishi Ngada FC ndo timu anayoipenda, yaani huyu ni kolo flani hivi ..!!!
Source:trust me broUngeweka na source ya taarifa hii..
Nimelipenda jibu lako wallah..!!!Source:trust me bro
Yanga ni timu inayowazia mafanikio makubwa! Bonanza kitu gani bhana!! 🤗Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.
Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.
Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.
List yenyewe ni hii:
- Mamelodi Sundowns - South Africa
- Orlando Pirates - South Africa
- Al Ahly - Egypt
- Zamalek - Egypt
- Simba - Tanzania
- Wydad - Morocco
- Raja Casablanca - Morocco
- Esperance - Tunisia
- Etoile Du Sahel - Tunisia
- Canon Yaounde - Cameroon
- TP Mazembe - DRC
- AS Vita - DRC
- Petro de Luanda - Angola
- Power Dynamos - Zambia
- Al Hilal - Sudan
- Enyimba - Nigeria
- ASEC Mimosas - Ivory Coast
- Hearts of Oak - Ghana
- Vipers - Uganda
- Jwaneng Galaxy - Botswana
- AS Bamako - Mali
- CR Belouizdad - Algeria
- JS Kabylie - Algeria
- ASC Jaraaf - Senegal
Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
- Hafia - Guinea
- Berkane - Morocco
- Asante Kotoko - Ghana
- Young Africans - Tanzania
- Africa Sports - Ivory Coast
- USM Algiers - Algeria
- Pyramids - Egypt
Uko sahihi ulivoelezea hizo Ila usichokijua n kua hizo point huzidishwa mara tano .. mfano Yanga alikua na poin 4 so utazidisha na 5Mshindi klab bingwa ni point 6 na wapili ni point 5. Shirikisho mshnd point 5 na wapili point 4. Hzo point 25 yanga amezipata wapi? Acheni kudanganyana nyie
Hii mitandao ya kijamii mnaichukulia serious kuliko hata walioitengeneza. Yaani unadhani kabisa timu itachaguliwa kwa sababu tu kuna majobless wanalike post zake kwa wingi?Sio rahisi mzee na acha propaganda, haya mashindano yapo kibiashara zaidi na hata wadhamini waliopo wanategemea Engagement ya fans.. Kwa miaka ya karibuni hasa kuanzia mwaka huu Yanga inauzika sana kwenye masuala ya fans engagement ukitaka uamini hilo japokuwa najua hutakubaliana na hilo angalia hata kwenye page za CAF za Facebook, insta na twitter reaction yake pale ambapo itatajwa yanga..
Post ya vile vikadi vya ligi ya mabingwa iliyohusi yanga ilipata kikes na comments za kutosha kuliko post zote, hakuna mtu mpumbavu ambaye hataiacha timu ya hivyo kwenye mashindano ambayo yamekaa kibiashara zaidi, mwaka huu kwa sababu walikuwa wanatest mitambo ndio maana wakaanza na simba iliyokuwa na engagement kubwa miaka miwili ya nyuma kuliko yanga usitegemee mwakan itakuwa the same
Tunawaomba TP waendelee kutumia uwanja wetu.... sisi tutaujaza hamna shida TP wana nyuzi nyeusi ya bahati kama yetu.Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.
Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.
Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.
List yenyewe ni hii:
- Mamelodi Sundowns - South Africa
- Orlando Pirates - South Africa
- Al Ahly - Egypt
- Zamalek - Egypt
- Simba - Tanzania
- Wydad - Morocco
- Raja Casablanca - Morocco
- Esperance - Tunisia
- Etoile Du Sahel - Tunisia
- Canon Yaounde - Cameroon
- TP Mazembe - DRC
- AS Vita - DRC
- Petro de Luanda - Angola
- Power Dynamos - Zambia
- Al Hilal - Sudan
- Enyimba - Nigeria
- ASEC Mimosas - Ivory Coast
- Hearts of Oak - Ghana
- Vipers - Uganda
- Jwaneng Galaxy - Botswana
- AS Bamako - Mali
- CR Belouizdad - Algeria
- JS Kabylie - Algeria
- ASC Jaraaf - Senegal
Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
- Hafia - Guinea
- Berkane - Morocco
- Asante Kotoko - Ghana
- Young Africans - Tanzania
- Africa Sports - Ivory Coast
- USM Algiers - Algeria
- Pyramids - Egypt
Ukitaja jina la Ihefu unawachukiza sana mashabiki wa Yanga.Kilicho mkuta golikipa wa Ihefu kina karibia kukukuta na wewe