Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kipya kama hiki ni almost 10millions. Kina maajabu gani zaidi?

FB_IMG_1695225422660.jpg
 
Honda nawaangalia tu nasema hi!

Mchina anazidi kuteka soko la dunia kwa upumbavu kama huu. Mchina anatoa matoleo ya kisasa kwa bei chee huku makampuni ya zamani kama Honda wakibaki na zile fikra za miaka ya 90
Wewe Mu Africa na Fikra zako ndio unafikiria hivi.

Pato la Honda ni kubwa kuliko Bajaj, boxer, Tvs, San LG, na takataka zote ukijumlisha pamoja...

Hawatengenezi hivyo vitu kutarget masikini wana masoko yao.
 
Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kifya kama hiki ni almost 10millions.Kina maajabu gani zaidi?

View attachment 2756176
Ninayo yangu bado mpya kabisa nlinunua 2miln kwenye mnada kuna mradi ulikuwa unafungwa nikaja kucheki mtandaoni inauzwa dola 5,400 kabla ya ushuru. Kina high na low ukiweka low gear kinawezavuta landcruser mkonga bila shida
 
Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kifya kama hiki ni almost 10millions.Kina maajabu gani zaidi?

View attachment 2756176
Hicho KIDUDE tangu ENZI ya mkapa anapiga kampeni huku kushoto MREMA nae anapiga KAMPENI raisi MWINYI akimnadi
jirani yetu Mwarabu alikuwa nacho na mpk kesho anacho kazeeka yeye hawezi kuendesha kwa mikogo km zamanj lkn pikipiki ipo tu
 
Back
Top Bottom