Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

HONDA CT 90/110 au Trail zilianza kuundwa mwaka 1964 toleo la CT90 na mwaka 1970-1984 ndio toleo CT110 au Honda 110 Trail ziliundwa

Nchi zilizo nunua kwa wingi sana haya matole ni Australia zilitumika mashambani, New Zealand zilinunuliwa na shirika la posta kusambazia barua na kwa Africa ni Tanzania ziliingizwa na Danida shirika la misaada la Danish ili kusaidia miradi ya maji toka miaka ya 1970 mpaka 1980 na ndio nchi pekee Africa yenye aina hii ya pikipiki kwa wingi zinazoendelea kufanya kazi hii ni kwa mujibu wa Honda Japan.

Mwaka 2009 wachina walinunua leseni na kuunda Honda CT110 AG wakilenga soko la Tanzania lakini hawakufaulu sana kimauzo kutokana na ujio wa matoleo ya India na uchina kuwa na teknolojia rahisi na nafuu.
Ila mpaka sasa ni toleo linalotumika zaidi Australia kwenye kilimo.
 
Congo zipo nyingi tu mkuu ndugu yangu alinunua congo akatska kuipima chuma chakavu ikabidi niiokote
 
Mafisadi wa Tanzania awajawahi kushindwa na jambo kwenye kuhalalisha ufisadi wao. Hizo PIKI piki ziliingizwa kimkakati watu wa sekta Fulani wakapewa kimkopo na wengine wakapewa kwaajili ya matumizi ya kazi za serikali hapo ndipo shida ilipo anzia zikawa zinaonekana ni za watu wa serikalini.

Hata kiuhalisia wanao zimiliki hizo pikipiki wengi wao ni wastaafu wa serikali ama Bado wanamalizia malizia miaka ya utumishi. Shida ni Kwa alie pewa tenda ya kwenda kuzinunua kwaajili ya matumizi ya serikali 😭😭😭😭​
 
Ni pikipiki imara sana, Honda 110. Ulaji mzuri wa mafuta, nguvu na uimara ilipofika sokoni ikaipa umaarufu.

Mchina alitoa copy ya Honda 110 haikufanya vizuri sokoni akaachana nazo
Sasa ndo utoe 10M kwa pikipiki ??? Hata TVS 150 litre moja inapiga kilomita hata 10 au zaidi , efficiency zaidi ya hii unataka ya nini
 
Back
Top Bottom