Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

HONDA CT 90/110 au Trail zilianza kuundwa mwaka 1964 toleo la CT90 na mwaka 1970-1984 ndio toleo CT110 au Honda 110 Trail ziliundwa

Nchi zilizo nunua kwa wingi sana haya matole ni Australia zilitumika mashambani, New Zealand zilinunuliwa na shirika la posta kusambazia barua na kwa Africa ni Tanzania ziliingizwa na Danida shirika la misaada la Danish ili kusaidia miradi ya maji toka miaka ya 1970 mpaka 1980 na ndio nchi pekee Africa yenye aina hii ya pikipiki kwa wingi zinazoendelea kufanya kazi hii ni kwa mujibu wa Honda Japan.

Mwaka 2009 wachina walinunua leseni na kuunda Honda CT110 AG wakilenga soko la Tanzania lakini hawakufaulu sana kimauzo kutokana na ujio wa matoleo ya India na uchina kuwa na teknolojia rahisi na nafuu.
Ila mpaka sasa ni toleo linalotumika zaidi Australia kwenye kilimo.
Hivi hizi bongo kuna mahal wanauza maana natafuta ya kununua ct110
 
Back
Top Bottom