Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Duuh hii nayo ni changamoto haya mambo ya mbususu!Iwe mwiko jamani kuambiana haya ya chumbani.Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.
Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...
Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
Wanao-reply mada za hivyo wasisapoti ujinga, wasapoti kwenye point za maana.... Sasa unakuta mtu anasema "Tukampiga mtungo kwa mabavu" naye mwingine anakuja anasema "Hawa ndio dawa yao"Nini kifanyike
Sasa kwani tukisema kula Mbususu anayeliwa si ni Mwanamke... Yani mwanamke ndio anafanyiwa ufusika... Ndio maana nikasema anapigwa tukio
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣dronedrake njoo tumsajili huyu kijana huku
Nadhani wasimamizi (moderators) wanazifurahiaAhsante kwa ushauri ila ningependa niongezee kusema
Ngono ndio ilimleta hata mtoa mada bila ngono mtoa mada asingeposti huu upumbavu
ila mtoa maana ameniongezea msamiati mpya "ni mwendo wa ufusika tu"
Shida sio ngono, shida ni kusapoti matukio ya ufusika bila kujua huo ufusika aliyefanyiwa ni nani... Unakuta unasapoti Tukio kumbe demu wako ndio kafanyiwa na jamaa mwingineAhsante kwa ushauri ila ningependa niongezee kusema
Ngono ndio ilimleta hata mtoa mada bila ngono mtoa mada asingeposti huu upumbavu
ila mtoa maana ameniongezea msamiati mpya "ni mwendo wa ufusika tu"
Nilishushwa kama kitabu cha upande wa pili
AstaghfirullahNilishushwa kama kitabu cha upande wa pili
Mkuu vipi umemfumania demu wako nini?Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.
Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...
Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
🤣🤣🤣😁Naomba modirator,aunganishe huu Uzi na ule wa kula tunda kimasihara 😆
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'unSasa kitabu cha upande wa pili unajua ni kipi
Fresh kabisa kuna sababu ya yeye kuliwa...Ndio maana kuna scenario nyingine inavyoelezewa ukiunganisha dots unaona kabisa mbona huyo dada ake na Saad30 kabisa... Alafu unakuta Saad30 mwenyewe yuko busy kushadadia hiyo mada
Shida sio kuliwa shida ni wewe kusapoti ufusika anaofanyiwa dada yako bila kujua anayezungumziwa ni dada yakoFresh kabisa kuna sababu ya yeye kuliwa...
Kama kala pesa ya watu mwache aliwe tu.
Wewe hutaki dada ako amegwe mkuu au una una ona raha ukiwa nae kwenye ndoto?
Wahuni wote peponiShida sio kuliwa shida ni wewe kusapoti ufusika anaofanyiwa dada yako bila kujua anayezungumziwa ni dada yako