Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.

Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...

Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
Duuh hii nayo ni changamoto haya mambo ya mbususu!Iwe mwiko jamani kuambiana haya ya chumbani.
 
Nini kifanyike
Wanao-reply mada za hivyo wasisapoti ujinga, wasapoti kwenye point za maana.... Sasa unakuta mtu anasema "Tukampiga mtungo kwa mabavu" naye mwingine anakuja anasema "Hawa ndio dawa yao"

Anasahau kuwa uenda aliyepigwa hilo tukio anaweza akawa hata mtu wake wa karibu 😂... Unakuta wengi humu hawafahamiani ila wanakaa mitaa ya karibu ni rahisi mtu anayezungumziwa hapo akawa Dada yako
 
Sasa kwani tukisema kula Mbususu anayeliwa si ni Mwanamke... Yani mwanamke ndio anafanyiwa ufusika... Ndio maana nikasema anapigwa tukio

Wao wamwkuambia hivyo ndugu? Sizijui hisia zao. Ninasita kuwasemea. Unachoita kupigwa tukio yawezekana kwao ni kupiga tukio. Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Ahsante kwa ushauri ila ningependa niongezee kusema

Ngono ndio ilimleta hata mtoa mada bila ngono mtoa mada asingeposti huu upumbavu

ila mtoa maana ameniongezea msamiati mpya "ni mwendo wa ufusika tu"
Shida sio ngono, shida ni kusapoti matukio ya ufusika bila kujua huo ufusika aliyefanyiwa ni nani... Unakuta unasapoti Tukio kumbe demu wako ndio kafanyiwa na jamaa mwingine
 
Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.

Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...

Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
Mkuu vipi umemfumania demu wako nini?
 
Mkuu vipi umemfumania demu wako nini?
Ndio maana kuna scenario nyingine inavyoelezewa ukiunganisha dots unaona kabisa mbona huyo dada ake na Saad30 kabisa... Alafu unakuta Saad30 mwenyewe yuko busy kushadadia hiyo mada
 
Ndio maana kuna scenario nyingine inavyoelezewa ukiunganisha dots unaona kabisa mbona huyo dada ake na Saad30 kabisa... Alafu unakuta Saad30 mwenyewe yuko busy kushadadia hiyo mada
Fresh kabisa kuna sababu ya yeye kuliwa...

Kama kala pesa ya watu mwache aliwe tu.

Wewe hutaki dada ako amegwe mkuu au una una ona raha ukiwa nae kwenye ndoto?
 
Fresh kabisa kuna sababu ya yeye kuliwa...

Kama kala pesa ya watu mwache aliwe tu.

Wewe hutaki dada ako amegwe mkuu au una una ona raha ukiwa nae kwenye ndoto?
Shida sio kuliwa shida ni wewe kusapoti ufusika anaofanyiwa dada yako bila kujua anayezungumziwa ni dada yako
 
Back
Top Bottom