Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Duuh hii nayo ni changamoto haya mambo ya mbususu!Iwe mwiko jamani kuambiana haya ya chumbani.Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.
Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...
Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....