Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

Toa Iran toa udini unakupofusha.
Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu anaeingiza swala la udini pale ambapo hakuna dini yoyote iliyotajwa basi ujue huyo mtu ni "MPUMBAVU".

So kwa mantiki hiyo wewe ni mjinga na mpumbavu ndo maana umekimbilia kuingiza dini katika mambo yasiohusiana na dini.
 
Hata wazungu bado wanavamiana moja kwa moja. mf. Russia vs Ukraine.
 
China na Marekani sio maadui kihivyo, juzi kati tu hapo Xi Jinping alikuwa California anagonga mvinyo na Biden.
China walishaondoka kwenye Siasa kimataifa Siasa zimebaki ndani ya china tu sera nje ya China Kwa Sasa ni uchumi na biashara tu

Waliobaki kuendekeza Siasa mbovu za nje ni Korea kaskazini na Irani tu

Sema na Russia alikuwa vizuri kachemka tu kuvamia Ukraine

Lakini wakinga pekee kwenye Siasa mbovu za nje waliobaki duniani ni Iran na Korea kaskazini tu.Russia ikiisha vita kajifunza haji rudia hilo kosa atakuwa kama china kuwa Siasa ya nje ni uchumi na biashara Siasa ziishie ndani ya ncho tu
 
Ila kwa russia kutoka siku 3 hadi miaka kashinda vita,kobazi wanafiki sana!
Bahati nzuri hakuna anae support ujinga ulioandika. Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Hakuna like wala support ya comment kutoka kwa watu. Kwanza nikiendelea kuku quote ni kukuongezea nafasi ya kuendelea kuandika ujinga wako.

Bora niku ignore uandike na kusoma mwenyewe.
 
Plus Tanzania, ila hapa wanahitaji kuja na briefcase na documents za kuSign tu.
 
Oktoba 7 hamas wamevamia sio iran ndugu yangu acha kujipa umuhimu. Iran kapelekewa pakistan tu kanyosha mikono juu
 
Kama siasa za nje ni ujinga na zinauwa uchumi kama unavyodanganya hapa basi uchumi wa Marekani ungeanguka, uchumi wa UK na Ulaya ungeanguka maana nchi zao zinajihusisha sana na siasa za nje. Mfano zinaifadhili Ukraine kijeshi na kiuchumi, zinaifadhili Israel kijeshi na kiuchumi.

Yani wewe unataka nchi zingine zifanye siasa za nje kwa kuleta majeshi yao pale Ukraine katika mipaka ya Russia kwa kisingizio cha NATO kwa ajili ya kujiandaa na uvamizi kwa nchi ya Russia, alafu Russia ikae tu kufunga mikono eti kwa sababu ikiingia katika siasa za nje uchumi wake utakwama. Kwahiyo uchumi una faida gani kama nchi inaweza kuwa na uwezekano wa kuvamiwa muda wowote na maadui?

Marekani apeleke majeshi yake katika nchi nyingine karibu na mpaka wa Iran alafu Iran aangalie tu eti kwa sababu ya kukwepa siasa za nje!

North Korea atulie tu kuangalia Marekani na South Korea wakifanya mazoezi yanayodhihirisha uvamizi wao muda wowote kwa North Korea alafu North Korea iangalie tu kwa kisingizio cha siasa za nje. Hii itakuwa akili au matope!
 
Marekani vita zake Huwa za kiuchumi tu .Mfano kuwaiti Kulijaa makampuni ya mafuta na gesi.Saddam Hussen akavamia Kuwaiti walimshukia kama mwewe na kumuondoa madarakani

Gaddafi na Saddam nk walikuwa wafadhili wakuu wa ugaidi wakaenda kubomoa Trade centre Yao Marekani 9/11 mmarekani aliehuka akapeleka majeshi kubomoa karibu nchi zote za kiarabu wafadhili ugaidi dhidi Yao

Ukraine makampuni mengi makubwa ya Nchi za NATO na Marekani yamewekeza kule Ukraine hivyo kuvamia ni vita dhidi ya interests zao za kiuchumi na biashara. Otherwise hawana mpango .Ndio maana mauaji ya kimbari ya Rwanda na Burundi hakuna Cha NATO Wala Marekani alijitokeza kuyazima waliacha wauane Hadi wachoke.Sababu hawakuwa na maslahi yoyote ya kiuchumi au biashara Rwanda na Burundi wakaona hakuna haja ya kupoteza pesa za walioa Kodi Wao kupeleka majeshi maeneo wasio na maslahi Yao kiuchumi
 
Oktoba 7 hamas wamevamia sio iran ndugu yangu acha kujipa umuhimu. Iran kapelekewa pakistan tu kanyosha mikono juu
Pakistan ni nchi yenye mamlaka kamili, jeshi kamili, vifaa kamili, uchumi kamili hivyo kuingia vitani na nchi kama hiyo inahitaji umakini mkubwa, cause hata kama mtashinda bado mtaingia hasara kubwa kwa sababu mnapigana na nchi na sio vijana wawili watatu wasiokuwa na silaha kama Hamas.

Ila Israel kama nchi yenye jeshi kamili na askari wengine wa akiba, yenye kupokea badget kubwa ya kijeshi kila mwaka kutoka kwa wazungu, haina vikwazo vya jeshi wala uchumi, ina midege ya jeshi, mivifaru, mimeli ya kijeshi, lakini bado wanahenyeshwa na kikundi cha vijana wasiozidi elf 20 (hezbulla) ambao sio jeshi kamili, hawana silaha za maana, hawana madaraka ya nchi, hawashikilii uchumi wa nchi hawana ndege, kifaru wala meli ya kijeshi.

Hii inaonesha kuwa Israel bila msaada wa wazungu ni nyepesi mno. Tofauti na North Korea au Iran pamoja na vikwazo vikali lakini zinajisimamia zenyewe bila kutegemea msaada wa mzungu wala muarab. Usisahau hiyo Hamas inapewa tu msaada kidogo na Iran lakini action yake ni kubwa kwa ardhi ya Israel, sasa ikiingia yenyewe mzigoni hali itakuaje.
 
Sadam na Ghadaf hawakuwa na uwezo wowote wa kufanya matukio kama yale katika ardhi ya Marekani mkuu. Ule ni mchezo uliochezwa na kupangwa na wakubwa wenyewe ili iwe rahisi kufikia malengo yao pale Mashariki ya kati.

Marekani au uwanja wa ndege wa Marekani hauwezi kuingilika kipumbavu vile mkuu. Ukipata muda soma thread hiyo niliyokuwekea pichani. Nina imani kama kweli una nia ya kujadili basi utang'amua kitu fulani kutoka katika mada.

Faida ya mafuta waliyopata toka waivamie Iraq na Libya ni kubwa zaidi, kuliko hasara waliopata katika tukio la Sep 7
 

Attachments

  • Screenshot_20240125-152920.jpg
    84.8 KB · Views: 2
Ni nchi gani ilishawahi kushambulia Marekani?
Hata hivyo wote hao hawana ugomvi wa kufikia kuingia vitani
 
Atapigwa tu. Mark my words.
 
Ndio hivyo sasa juzi amepiga ndani ya Iran mpaka ikabidi Iran aombe wayamalize kidiplomasia
 
Pia nchi hizo haziwezi kuivamia israel na marekani ujue. By the way wababe wa kivita duniani ni israel na marekani usiombe vita itokee kati ya nchi hizo dunia itatikisika na kuharibika pakubwa
Yaani Israel hata silaha za kupigana na Hamas anapewa na US, sasa hiyo vita si itakuwa ni ugomvi wa Antony Joshua na Mandonga mtu kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…