Hizi ndio nyayo vikanyagio vya Nabii Ibrahim, Jiwe dogo la mraba (Maqam Ibrahim) lililohusishwa na Ibrahim katika ujenzi wa Al-Kaaba

Word

Ova
 
Historia ya Mungu?!
 
Mambo ya uongo tu, nyayo za Loliondo nitaamini. Haya mengine ni mambo ya uongo uongo tu, ila unatakiwa uamini. Ni upuuzi. Nyayo za binaadamu ndio ziwe na umbo hilo?! au hao watu wa zamani walikuwa wanavaa viatu vya aina gani? Uongo, ila unatakiwaa uuamini. Mimi siamini.
 
Ni hivi ndg muislam; Ungezaliwa ukakuta uzao wa babu zako umeandikiwa historia na wazazi wako wakakupa muongozo lazima usome uwajue nadhani usingeandika hicho hapo juu!.

Uislam na Ukristo tumeukuta tayari una mizizi na umejichimbia chini sana kiasi kwamba hata babu yako anapokufa unaambiwa ni mzimu, so ukiulizwa wapi mlikuwa kabla ya hapo ulipo utaweza kutoa jibu? [NO] kwa nini huna historia yoyote bali ya kuletewa.

Kila mtu ana Imani ya Allah Subhanah wataealaa ila kujifanya imani zetu ni mizimu tunakosea sana!.
 
wewe ndie unao waita babu zako mizimu
 

Kwahiyo hii ndiyo ile sehem watu wanazungukia na kuchungulia au ndiyo jiwe la alkaba lenyewe?
Maana nasikia alkaba ni jiwe jeusi dogo lilishuka toka mbiguni
 
Hivi inawezekanaje kuwe na Ibrahim wawili? Aliekua anamwabudu Allah na Jehovah kwa wakati mmoja? Nyenyere
 
Nenda seke huko shinyanga ukaone miguu kama hyo alikanyaga mwanamalundi.
 
Umeongea ukweli ambao ni mchungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…