Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Wanaenda kupiga magoti katika masanamu hayo...wana sujudia sanamu za dhahabu...hawana tofauti na R.C.Kuna majitu yataamini hizo kweli ni nyayo za ibrahimu .waafrika tumechezewa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaenda kupiga magoti katika masanamu hayo...wana sujudia sanamu za dhahabu...hawana tofauti na R.C.Kuna majitu yataamini hizo kweli ni nyayo za ibrahimu .waafrika tumechezewa sana
Wakuja walifanya mpango wa kuhakikisha historian yetu INA haribiwaLawama nyingine hata hazina mashiko, hapo ni kosa la nani ambao hawakuweka historia?
Ww ni dini gani?Mwanzo umesema hakuna kipindi cha hijja ,sasahivi umebadilika unasema kuna kipindi maalumu nacho ni mwezi wa dhulhijja,kwahiyo siku nyingine usikurupuke kujibu kitu usichokijua,kuhusu hiyo hija ya wakristo ambao huwa wanafunga safari kwa pamoja kwenda roma kama wanavyofanya waislam kwenda makka,hakuna wewe ndio useme kadinali gani aliyekwambia hizo habari usiniambie mimi ambaye sijasema huo uongo niende kwa makadinali
Wote muhimu...Hapo tunasoma historia ya mababu wa wenzetu na kuona ufahari na wengine kusafiri masafa kushangaa miguu ya Mababu wa Kiarabu huku sisi mababu zetu tunawaita Mizimu tena inayotisha kama hiyo haitoshi hata historia za Mababu zetu hatuzijui,
Inasikitisha
Wacha fixi hizo sisi hatukuwa na ustaarabu wa kuandika taarifa zetu na ndiyo mana hatuna hata hati zetu (script) za asili. Ethiopia, Egypt, waarabu na wahindi wao wanazo hati zao na ndio maana historia zao zimeandikwa.Wakuja walifanya mpango wa kuhakikisha historian yetu INA haribiwa
Umewahi kukiona? Nani kwakwambia hayo? Thibitisha kama sio habari za vibanda vya kahawa ,usioende kusikiliza habari za vijiweni,tulia ujifunze,eti kipindi na msimu 🤣🤣Ww ni dini gani?
Hv unajuwa utofauti wa kipindi na msimu?
Hv unafahamu asset zaa yesu kristo zipo vetican kama kumbukumbu takatifu ya kanisa?
Hv unaelewa maana ya neno hijja?
Hv unafahamu kama habari za kitambaa cheupe cha yesu chenye kufuta zambi za mwanaadam kipo vetica?.
Siwez kujadili hoja na mtu asie elewa hata utofauti wa kipindi na msimu.Umewahi kukiona? Nani kwakwambia hayo? Thibitisha kama sio habari za vibanda vya kahawa ,usioende kusikiliza habari za vijiweni,tulia ujifunze,eti kipindi na msimu 🤣🤣
Uko sahihi Zamani mazao yalipandwa bila kutumia mbolea zenye kemikali ama viwatifu, baada ya mavuno, vyakula vilitunzwa kwa njia asili. sasa hivi vyakula vinatunzwa kisayansi tumebaki kula sumu tu.Sayansi inatatua changamoto au inaleta changamoto!?..sayansi ni uelewa wa binaadam juu ya mazingira yake,vifo 51% Leo vinatokana na mtindo wa maisha,yaani ulaji etc..saratani ni matokeo ya sayansi,na mahodpitalini wamejaa wahanga wa sayansi
Wacha fixi hizo sisi hatukuwa na ustaarabu wa kuandika taarifa zetu na ndiyo mana hatuna hata hati zetu (script) za asili. Ethiopia, Egypt, waarabu na wahindi wao wanazo hati zao na ndio maana historia zao zimeandikwa.
Hata hapa Afrika Mashariki walipoanza kujifunza tu kuandika kwa kutumia hati za kiarabu ndiyo wakaanza kuandika baadhi ya mambo, mfano wa uandishi wa karne ya 15 au 16 ni ule utenzi wa Fumo Lyongo.
Michoro ipo lakini haina maelezo tafauti na, mfano ile michoro ya Egypt ambayo waliandika historia za Mafarao mpaka wafanyakazi wa nyumbani kwa mfalme.Ile michoro ya kwenye miamba je? Siyo story kupitia picha kweli?
Nadhan hata nyayo zipo
Hivyo vitu Huko vatican uliwahi kuviona hata picha tu au umesikia kwenye vibanda vya kahawa,eti kitambaa alichofutwa jasho yesu kipo vatican,na wewe ukaamini huo upuuzi,huyo kadinali aliyekwambia hivyo ulimuuliza kama aliwahi kikuona kwa macho au na yeye anasikia kama wewe.umepewa akili kidogo sio pambo la ubongo itumie kidogo kufikiria ili ikusaidie ,sio kila upuuzi unaosikia unaamini tu kama .pili hakuna msimu wala kipindi chochote ambacho wakristo huenda vatican kuhiji kama wanavyofanya waislam kwenda makka,kama na hilo pia umeambiwa ukaamini bas wewe kichwa chako kuna tatizo sehemuSiwez kujadili hoja na mtu asie elewa hata utofauti wa kipindi na msimu.
Kama hujui hata historial tools za ukristo zipo vetikani kunahaja gani ya kujadili mm naww?
Ndy maana nimekuuliza wewe ni dini gani/thehebu gani?
I can hardly imagine how clever the catholic scholars were to be able to create this religious doctrine called Islam to the very extent that many people became its followers.Maqam Ibrāhīm ni 'kikanyagio cha Nabii Ibrahim' ni jiwe dogo la mraba lililohusishwa na Ibrahim, Ismail (Ishmaeli) na ujenzi wao wa Al-Kaaba ambapo sasa ni Msikiti Mkuu wa Mecca katika eneo la Hejazi la Saudi Arabia. Chapa kwenye jiwe ilitoka kwenye miguu ya Ibrahimu.
![]()
Ilionekana pale Ibrahim aliposimama juu ya jiwe alipokuwa akijenga Al-Kaaba; kuta zilipokuwa juu sana, Ibrahim alisimama juu ya maqam, ambayo iliinuka kimiujiza ili kumwacha aendelee kujenga na pia ilishuka chini kimiujiza ili kumruhusu Ismail kumpa mawe.
![]()
Nyayo hiyo ilionekana wakati mke wa Ismail alipoosha kichwa cha Ibrahim, au pale Ibrahim aliposimama juu yake ili kuwaita watu kuhiji Makka.
![]()
Nguo zilizofunikwa kwa Maqam Ibrahim, mwishoni mwa karne ya 19, zilitengenezwa huko Dar al-Kiswa huk Cairo.
![]()
Jiwe lililo ndani ya kasha lina umbo la mraba na hupima urefu na upana wa sentimita 40, na urefu wa sentimita 20. Ilikuwa imefungwa kwa muundo uitwao Maqsurat Ibrahim ambao ulifunikwa na sitara: pazia la mapambo, lililopambwa ambalo lilibadilishwa kila mwaka. Hivi sasa imewekwa ndani ya uzio wa chuma cha dhahabu.
![]()
Iliyojengewa dhahabu
![]()
Maqam
![]()
Maqam Ibrahim
View attachment 2504569
Kwa ndani
![]()
Maqam
![]()
Mqam Ibrahim
![]()
Maqam
![]()
Maqam
![]()
Hapo tunasoma historia ya mababu wa wenzetu na kuona ufahari na wengine kusafiri masafa kushangaa miguu ya Mababu wa Kiarabu huku sisi mababu zetu tunawaita Mizimu tena inayotisha kama hiyo haitoshi hata historia za Mababu zetu hatuzijui,
Inasikitisha
Babu zetu walikuwa wachoyo, hawakuhifadhi ujuzi na historia zao kwa maandishi...walikuwa watu wa starehe tu hadi wakaja wakatawaliwa...wakati mzungu anatengeneza bunduki sijui Babu zetu walikuwa wanafanya nini..Hapo tunasoma historia ya mababu wa wenzetu na kuona ufahari na wengine kusafiri masafa kushangaa miguu ya Mababu wa Kiarabu huku sisi mababu zetu tunawaita Mizimu tena inayotisha kama hiyo haitoshi hata historia za Mababu zetu hatuzijui,
Inasikitisha
Ndy maana nimekuuliza wewe ni dini gani?Hivyo vitu Huko vatican uliwahi kuviona hata picha tu au umesikia kwenye vibanda vya kahawa,eti kitambaa alichofutwa jasho yesu kipo vatican,na wewe ukaamini huo upuuzi,huyo kadinali aliyekwambia hivyo ulimuuliza kama aliwahi kikuona kwa macho au na yeye anasikia kama wewe.umepewa akili kidogo sio pambo la ubongo itumie kidogo kufikiria ili ikusaidie ,sio kila upuuzi unaosikia unaamini tu kama .pili hakuna msimu wala kipindi chochote ambacho wakristo huenda vatican kuhiji kama wanavyofanya waislam kwenda makka,kama na hilo pia umeambiwa ukaamini bas wewe kichwa chako kuna tatizo sehemu
Ushuzi mtupu. Tafuta nyayo za mababu zako uachane na hizi ngonjera za waarabu na mahayahudi mwananguMaqam Ibrāhīm ni 'kikanyagio cha Nabii Ibrahim' ni jiwe dogo la mraba lililohusishwa na Ibrahim, Ismail (Ishmaeli) na ujenzi wao wa Al-Kaaba ambapo sasa ni Msikiti Mkuu wa Mecca katika eneo la Hejazi la Saudi Arabia. Chapa kwenye jiwe ilitoka kwenye miguu ya Ibrahimu.
![]()
Ilionekana pale Ibrahim aliposimama juu ya jiwe alipokuwa akijenga Al-Kaaba; kuta zilipokuwa juu sana, Ibrahim alisimama juu ya maqam, ambayo iliinuka kimiujiza ili kumwacha aendelee kujenga na pia ilishuka chini kimiujiza ili kumruhusu Ismail kumpa mawe.
![]()
Nyayo hiyo ilionekana wakati mke wa Ismail alipoosha kichwa cha Ibrahim, au pale Ibrahim aliposimama juu yake ili kuwaita watu kuhiji Makka.
![]()
Nguo zilizofunikwa kwa Maqam Ibrahim, mwishoni mwa karne ya 19, zilitengenezwa huko Dar al-Kiswa huk Cairo.
![]()
Jiwe lililo ndani ya kasha lina umbo la mraba na hupima urefu na upana wa sentimita 40, na urefu wa sentimita 20. Ilikuwa imefungwa kwa muundo uitwao Maqsurat Ibrahim ambao ulifunikwa na sitara: pazia la mapambo, lililopambwa ambalo lilibadilishwa kila mwaka. Hivi sasa imewekwa ndani ya uzio wa chuma cha dhahabu.
![]()
Iliyojengewa dhahabu
![]()
Maqam
![]()
Maqam Ibrahim
View attachment 2504569
Kwa ndani
![]()
Maqam
![]()
Mqam Ibrahim
![]()
Maqam
![]()
Maqam
![]()