Hizi ndio nyayo vikanyagio vya Nabii Ibrahim, Jiwe dogo la mraba (Maqam Ibrahim) lililohusishwa na Ibrahim katika ujenzi wa Al-Kaaba

Kwa hiyo hii ni ibaada ya masanamu?
 
Ngoja upelekwe mdomo upande [emoji855]
 
Kwa hiyo hii ni ibaada ya masanamu?
Ndio mkuu ni ibada ya sanamu. Wanasema mungu wao allah ni mmoja na ndio pekee wa kuabudiwa. Na ni kweli wanavyoamini kwasababu jiwe la alkaaba ni moja tu na ndo allah mwenyewe wanamuabudu
 
Sayansi inatatua changamoto au inaleta changamoto!?..sayansi ni uelewa wa binaadam juu ya mazingira yake,vifo 51% Leo vinatokana na mtindo wa maisha,yaani ulaji etc..saratani ni matokeo ya sayansi,na mahodpitalini wamejaa wahanga wa sayansi
 
We huwa bogus Sana,ushahidi wa kihistoria unapatikana wapi!?...
 
Ila fuvu la binadamu wa kwanza tunaamini
lile ni fuvu wa binadamu wa kale ,hakuna waliposema wa kwanza ,sasa wewe kama una lako la kale zaidi unaweza kulileta tukalipima ili nalo liingie kwenye historia,kwahiyo umeamini zile ni nyayo za ibrahimu
 
Sasa mimi bogus, kwa nini unamuuliza swali mtu bogus?
Hilo swali linashajiisha ubogus wako Kama utajibu...we kitu wakifanya na kusema wazungu basi unaona Cha maana,unadandia tu!!
 
Hilo swali linashajiisha ubogus wako Kama utajibu...we kitu wakifanya na kusema wazungu basi unaona Cha maana,unadandia tu!!
Sawa mi bogus, nakupeleka ignore list tusijibizane maana mimi bogus.

Na wewe nakuomba niweke ignore list usione maandiko ya mtu bogus.

Sielewi kwa nini unajibizana na mtu bogus.

Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona chochote unachoandika.
 
Hoja zimeisha!!
 
Mimi naikubali historia ya yule chifu alie Kalia Jiwe akaacha alama
 
Miguu kama Tembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ibrahimu hajawahi kwendaga huko,Wala Hana miguu Kama tembo,hizo Ni fix tuu ,hata huyo ishael hajawahi kanyaga huko,Wala ibrahimu hakuanzisha alkaaba,ibrahimu hawezi kujenga nyumba ya ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…