Hizi ndio nyayo vikanyagio vya Nabii Ibrahim, Jiwe dogo la mraba (Maqam Ibrahim) lililohusishwa na Ibrahim katika ujenzi wa Al-Kaaba

Umenena
 
Ndo man mnaenda makka kaauabudi nyayo za warabu
Ile ni sehem ya kihistoria na takatifu kwa mafundisho yetu sisi
Kama vile wakatoliki wanavyoenda kuhijj Roma, wazayuni kule jerusalem na waorthrodox kule ethiopia
 
Ile ni sehem ya kihistoria na takatifu kwa mafundisho yetu sisi
Kama vile wakatoliki wanavyoenda kuhijj Roma, wazayuni kule jerusalem na waorthrodox kule ethiopia
Tangu nizaliwe sijawahi kusikia kuna msimu kama ule wa hijja ya kiislam kwa waroma kwenda italy roma kuhiji .vp wewe unaujua huo msimu ni mwezi wa ngapi,una picha yoyote ikionyesha wakristo wote duniani wamekusanyika roma kuzunguka au kuhiji sijui kitu gani.hijja ipo kwenye nguzo za kiislam ,ebu nipe andiko kwenye biblia inayoonyesha hao wakristo wengine wanatKiwa kwenda huko ulikosema kuhiji
 
Huu ni uongo
 
Sijui msimu ninachojua kila mwaka makadinal na wafuasi wao dunia huwa wanaenda vetican kuhijj,
Viongozi na wafuasi wa orthodox wote dunia huwa wanaenda ethiopia kuhijj sasa kipi huelewi

Halafu unabidi utambue hakuna msimu wa kwenda hijj kwa waislamu
 
Acha ujuaji mkuu,ina maana ukijisikia tu kwenda umra unakurupuka unaondoka,sasa ile eid el hajji huwa inamaanisha nini,watu wanavyochinja kile kipindi kinamaainsha eti hakuna kipindi maalumu.kama huna elimu na hilo jambo sema tu sijui wajuzi watakuelekeza.halafi hiyo hijja ya italy vatican ambayo wakristo wanaenda kila mwaka nimekuuliza hujui na hao wakristo tunaishi nao mitaani lakini hatujawahi kusikia huo mwaka waroma wanaondoka kwenda hija vatican,so usiongee vitu usivyokua na uhakika navyo humu
 
Waislam wanaenda hajj mwz Dhul hijja,waukize makadinali watakueleza vzr pia waulize viongoz wa orthdox watakueleza vzr
 
Hivi inawezekanaje kuwe na Ibrahim wawili? Aliekua anamwabudu Allah na Jehovah kwa wakati mmoja? Nyenyere
π™Όπš–πš˜πš“πšŠ πš—πš’ πšπšŠπš”πšŽ πš–πš”πšžπšž.
 
Waislam wanaenda hajj mwz Dhul hijja,waukize makadinali watakueleza vzr pia waulize viongoz wa orthdox watakueleza vzr
Mwanzo umesema hakuna kipindi cha hijja ,sasahivi umebadilika unasema kuna kipindi maalumu nacho ni mwezi wa dhulhijja,kwahiyo siku nyingine usikurupuke kujibu kitu usichokijua,kuhusu hiyo hija ya wakristo ambao huwa wanafunga safari kwa pamoja kwenda roma kama wanavyofanya waislam kwenda makka,hakuna wewe ndio useme kadinali gani aliyekwambia hizo habari usiniambie mimi ambaye sijasema huo uongo niende kwa makadinali
 
Nina maswali mawili.
1. Kwanini Ibrahim alikuwa na kilo ngapi mpaka nyayo zake zibaki muda wote huo mpaka explorer walivyofika..
2. Me nyayo za Ibrahim zilikuwa zinajiandika jina mpaka wajue kwamba ni zake
 
Lawama nyingine hata hazina mashiko, hapo ni kosa la nani ambao hawakuweka historia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…