Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,624
- 4,345
EwaaaaaahMe sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
OkStandard international Unit
Shida kingelezaSystème Internationale(SI)- Metric system of measurements that is recognized/accepted internationally.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikitokea hivyo ntalala chini ya bahari siku 3
Uchawi = Pombe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwa sisi tunaotumia uchawii wala haatuna shida...tukigusa tu imoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thanks kwa kuuleta huu uzi wako, me mwenyewe nilikuwa naplan kuuleta kwenye mada hii.Mimi ni mwanamke mwenye akili na huwa ninawakataa hao watu wenye hela ambao wanafikiri they can get me kwa sababu tu wana hela. Ni mwanamke asiye na akili tu ndiye ataona tu una vijicent afu akajilengesha fasta bila kuangalia una vitu gani vya ziada unaweza kumu-offer. Pesa ni ya muhimu sana; lakini sio kila kitu kwenye mahusiano. Tabia yako, kujitambua, heshima n.k vinaweza vikakufanya ukakataliwa.
Hivi seriously kabisa na wewe unakuwa na mwanamke eti kisa kaona ana gari so atakuwa anapata lift; yaani lift ikutoe utu.
Btw hongereni; kumbe wakaka wa humu mna mifwedha hivyo. Naona kila mtu leo kapendewa mifwedha na baby ake, hamna pangu pakavu anayependwa, wala wale tunaojitiaga moyo "he has a promising future" hakuna humu leo. Mnitumiepo basi tuvocha jamani
Guys be like "Nina kazi nzuri, Gari, Nyumba, Pesa lakini sipati Mke"
Mmh nimekuwa mchangiaji mzuri sana wa threads za wengine ila leo limenigusa so nimeamua tu na mimi nianzishe kathread kangu lol. Excuse my gazeti For a while nimekuwa nikisikia na kuona wakaka wengi, especially wale ambao wanataka kuoa wakilalamika "nina gari, nina nyumba, kazi nzuri, hela...www.jamiiforums.com
Thanks kwa kuuleta huu uzi wako, me mwenyewe nilikuwa naplan kuuleta kwenye mada hii.
Ila my sista we shukuru Mungu huna njaa ndogo ndogo ndo maana haikuingii akilini wenzio wanavojirahisi kwa kushobokea hivo vitu 3.
You have your own standard and limits
Ukiwa na kagetho kameenda shule, vibint kama hivi kama unasukuma ubuyuView attachment 1618668
Aaaah uwaseme na wanaume wenzio kibao tu ambao wanaanza na mabinti wa watu from scratch, afu zikianza tu kunukia ndio anatafutwa "dream woman" wa kuzitumia. Wewe mwenzangu na mimi tena siyo type yake; ulikuwa tu available kwa wakati ule ambao hakuweza kuwapata wa ndoto zake; you are not what he wants. Mtu anaona shida ya nini; zitafute kwanza ukishazipata njoo; hata ukininyanyasa sawa tu. Sio mzitafute wote afu muda wa raha unaenda kudangwa khaaaaNi kweli tunapenda sana maisha ya kuanza from scratch na kuona progress yetu ilivyo. We love dat for sure ila wanawake wasio financial independent ndio wametengeneza ufalme wa wanaoita kudanga.
Wana opt wanaume wanaochanua kiuchumi tu...ukiwa kapuku unatoswa mapema tu kumbe nia yetu ni nzuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaah uwaseme na wanaume wenzio kibao tu ambao wanaanza na mabinti wa watu from scratch, afu zikianza tu kunukia ndio anatafutwa "dream woman" wa kuzitumia. Wewe mwenzangu na mimi tena siyo type yake; ulikuwa tu available kwa wakati ule ambao hakuweza kuwapata wa ndoto zake; you are not what he wants. Mtu anaona shida ya nini; zitafute kwanza ukishazipata njoo; hata ukininyanyasa sawa tu. Sio mzitafute wote afu muda wa raha unaenda kudangwa khaaaa
Mmh haya banaHahaha my kaka njaa ninayo haswa; ni vile tu siiendekezi. Afu na ka-pride ka kinyaki kananiboost lol
eeewaaaaaaa π₯°Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
bado ujatujua vizuri mkuu endelea kutusoma maana kuna wakt mwingne ata sisi hatujilewii πππHamna mwanamke mwenye akili atakataa mwanaume mwenye hizo sifa hapo. Wenyewe huwa mnakiri kabisa kuwa je, tutakula mapenzi huko kwenye ndoa? Which means lazma mwanaume wako awe well of na mipesa.
Wenzako wengi wanaliwa kwa lifti ya gari tu. Sasa ukisema wanawake wanaweza kukataa ukiwa na hizo SI Unit nakushangaa.
EwaaaaUchawi = Pombe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Naona unawastua Wana[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo.
Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo:
1.Pesa,Penenge, Mpunga,
Ngawira, Mtonyo, Shekeli,
Mshiko.
2.Gari, Chombo, Usafiri, Mjapani, Mwamvuli wenye matairi.
3.Makazi ya kueleweka kuishi binadamu yenye facilities zote muhimu. Iwe Ghetto au Apartment but hakikisha kitu self-contained na hapachoshi kukaa.
Wanangu wote jitahidini tuishi humo. Najua wengi mlifeli katika maeneo hayo hapo juu ila turekebishe makosa. Watoi wa tao wote wanalenga humo na ni rahisi sana kumtia mipango akikuta uko katika mazingira hayo iwe ya muda mfupi au mrefu. Tuishi humo!!!
NB: Sio lazima uwe na vyote ila hakikisha usikose Unit namba 1! Huwa inasawazisha mikingamo yote... i call it filler!
We jamaa umepotea sanaAahhh sana tu