Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

dada,sisi ndio wanaume tunafahamu,ukiwa na pesa hakuna Mwanamke utakayemtaka akukatae .
Hivi nyie [emoji848][emoji848]

Unachoweza niambia nikaamini ni hivi, mwanaume mwenye pesa ukimkataa huwa anastaajabu, na anaona miujiza[emoji849][emoji849][emoji848]

Hilo ndilo unaloweza niambia nikaelewa
 
bingwa em jaribu kupasua hzo p.u.m.bu unaeza kuta hzo gololi ni almasi af umekaa nazo tu[emoji16][emoji16]
Mmeshaanza kunivunja mbavu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji28]

Humo atapasua watoto tu, hakuna cha almasi wala gold[emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Case closed [emoji119][emoji119]
 
Hheeeheejee[emoji108]

Ukila vya watu lazima uliwe
 
We ni Dokta mkuu?[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kama mkono wa baunsa na mkewe from scrath, huyu mzee anaaibika na vibinti
 
Mapenzi ya hivyo huyafurahii hata kidogo.

Nikuulize swali?

Ulishawahi kuwatoa wanawake out au wakaja kwako unaona kabisa wanafurahi ila moyoni unajiambia ila hawa wanafurahia kwasababu ya ninachowapa.

Mapenzi mazuri hayahitaji msururu wa vitu.... effortless...simple.... na yanakusahaulisha mengi.


Labda kama unataka wa kuchezea tu...utawavuna wengi....hapa sikatai...

Ila mwisho wa siku kuna mapenzi baada ya sex....hii haihitaji mrundikano wa mambo.
 
Nilipokuwa na kazi mkoa fulani kitu cha kwanza nilinunua gari tena sio moja nilikuwa nazo mbili.Ndo nikaanza mipango ya kujenga.
 
Wanaokubali wako sawa na wanaokataa pia wako sawa. Sidhani kama kwa pesa, magari na eneo la kuishi utapata mtu wa kudumu utapata madanga na wale wanaotaka kula raha hapa na pale then mkizinguana unadaka mwingine na sidhani kama mtavuka miezi 6. Wale wanaopenda kwa dhati kuna kitu tofauti na hivyo kimemvuta pengine ni kinachoonekana(umbile, rangi, utanashati etc) au kisichoonekana (upole, akili, mtazamo,care etc) au wanaopenda bila sababu yoyote ile, unconditionally. Haya mambo ni magic hayana formula.
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…