Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Mapenzi ya hivyo huyafurahii hata kidogo.
Nikuulize swali?
Ulishawahi kuwatoa wanawake out au wakaja kwako unaona kabisa wanafurahi ila moyoni unajiambia ila hawa wanafurahia kwasababu ya ninachowapa.
Mapenzi mazuri hayahitaji msururu wa vitu.... effortless...simple.... na yanakusahaulisha mengi.
Labda kama unataka wa kuchezea tu...utawavuna wengi....hapa sikatai...
Ila mwisho wa siku kuna mapenzi baada ya sex....hii haihitaji mrundikano wa mambo.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiUsishangae ukawa na vyote hivyo, na bado kuna wanawake wakakutaa
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiMe sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Beyonce alifuata sura kwa jayz[emoji16]Ohhh sawa baharia. Maradhi mengi lakini kuwa makini katika michezo yako. Siku ukipenda na ukapendwa ndio utajua namaanisha nini. Wewe sasa cheza baba
Ngoma droo ndio yaleyale unasomesha chuo,akimaliza anakutupaAaaah uwaseme na wanaume wenzio kibao tu ambao wanaanza na mabinti wa watu from scratch, afu zikianza tu kunukia ndio anatafutwa "dream woman" wa kuzitumia. Wewe mwenzangu na mimi tena siyo type yake; ulikuwa tu available kwa wakati ule ambao hakuweza kuwapata wa ndoto zake; you are not what he wants. Mtu anaona shida ya nini; zitafute kwanza ukishazipata njoo; hata ukininyanyasa sawa tu. Sio mzitafute wote afu muda wa raha unaenda kudangwa khaaaa
Mtakuja kuozea jela.Ukiwa na kagetho kameenda shule, vibint kama hivi kama unasukuma ubuyuView attachment 1618668
Ila si unakuwa na uhakika wa constant supply ya mbunye.Mapenzi ya hivyo huyafurahii hata kidogo.
Nikuulize swali?
Ulishawahi kuwatoa wanawake out au wakaja kwako unaona kabisa wanafurahi ila moyoni unajiambia ila hawa wanafurahia kwasababu ya ninachowapa.
Mapenzi mazuri hayahitaji msururu wa vitu.... effortless...simple.... na yanakusahaulisha mengi.
Labda kama unataka wa kuchezea tu...utawavuna wengi....hapa sikatai...
Ila mwisho wa siku kuna mapenzi baada ya sex....hii haihitaji mrundikano wa mambo.
The time unapata hivo vyote lazima kuna Mwanamke kaisha kuganda kama ccm na kura za wizi.
Yani huwezi hata chepuka utachungwa hadi boksa unayovaa kila siku anakua anaijua.
Kwanza tayar utakua baba fulani hapo.
Pesa kidogo tu ya kuspendi inatosha kujichotea totozi kali na kiswahili yako ndo mambo yote hadi atahisi unafanya kazi NEC.
Na mimi ndiyo mwanamke ninayeongea; tunawakataa vizuri tu. Hata uwe nani au na kitu gani; kuna watu watakukataa tu
Hahahaha yan simu ya mwanaume lazima iwe na pesa kidogo za manipulation, kidogo tu..leo nimeenda shop kwa mangi nnapodakaga vitu zangu na kutoa pesa, nimetoa hela ile nahesabu kaja sister mmoja simjui, kamwomba jamaa mmoja amnunulie juice jamaa kaanza stori za abunuasi, me nikajitoa muhanga nikamwambia chukua nitalipa kafurah huyo hajui kama anakuja mdogo mdogo , sijamwomba namba wala sijataka kujua anakaa wapi ? nimebeti ipo siku mkeka utatiki
Duh maskini juice tu[emoji1381][emoji3601]
Nadhani kuna aina ya wanawake mnawaongelea msitujumuishe wote[emoji28]
Duh maskini juice tu[emoji1381][emoji3601]
Nadhani kuna aina ya wanawake mnawaongelea msitujumuishe wote[emoji28]
Ukiwa na kagetho kameenda shule, vibint kama hivi kama unasukuma ubuyuView attachment 1618668
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Duh hayaHunitafuti ndio maana
Ila nipo
Wanawapenda kwa sababu wanaamini kwamba mna pesa kutokana na muonekano ukiwa kazini.[emoji23][emoji23][emoji23]show them mapeneeee mkwanjaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]you will see them wanavyotetemaaa
Nakuongezea hii...
MADEM WA BONGO WANATUPENDA SANA SISI MADAKTARI
yaan ukishajitambulisha Am Dr G...... naomba tubadilishane namba ..nichapu sana
Alafu baada ya hapo. Unazuga kumpotezea, utaona mwenyewe anavyokusumbua[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubaliana naweee ,hizi mambo 3 zinatumika hasa kwa madem hawa wanaopenda maisha makubwa .
Ila kuna mademu hao hahaha wanaPESA na KAZI ,na GARI n.k
Hawa kuwapata, hakikisha una
[emoji117]Unaonyesha ujasiri nakujiamin
[emoji117]Hawa bana wanataka mwanaume anayewafurahisha
[emoji117]Hawa bana wanapenda Mwanaume anayewafanya wajione ni wanawake walojaaliwa na kubahatika
[emoji117]wengi wao sio wakali kivile, kwaiyo hawa wanapenda sana kusifiwa Uzuri wao wa Sura, umbo n.k
[emoji117]Hawa wanapenda maneno matamu kusikiaaaa
[emoji117]Hawa wanapenda uwe smart, ueleweke. Hata kama huna maisha ila waonyeshe kua unampango mkubwa baadae
Hayo ni machache ila utanishukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yake mtoa mada ukiwa na msingi tu wa nyumba utakuwa tayari umeshafunga ndoaThe time unapata hivyo vyote lazima kuna Mwanamke kaisha kuganda kama CCM na kura za wizi.
Yani huwezi hata chepuka utachungwa hadi boksa unayovaa kila siku anakua anaijua.
Kwanza tayar utakua baba fulani hapo.
Pesa kidogo tu ya kuspendi inatosha kujichotea totozi kali na kiswahili yako ndo mambo yote hadi atahisi unafanya kazi NEC.