Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Issue ni kwamba kahamia wapi? Na huko anakokwenda anakwenda kama nani?
Bunge hili hili au? Nadhani inategemea pia uko kitengo gani hapo bungeni! Kuna Jamaa walipata kazi Ofisi ya Bunge wakapangiwa kazi ofisi Ndogo ya Dar, lakini cha kushangaza Muda mwingi wako Dodoma hasa kipindi Vikao vya Bunge ninapochachamaa! Full kusign 150k per diem..
 
Hello guys! Naomba kujua kama Kuna mtu anayefahamu salary scale ya EWURA na remunerations nyingine kama per diem's, extra duty n.k....je uki compare na TPDC wapi kuna Maslahi bora zaidi?
 
Mkuu kwahiyo ina maana ukiwa private mwenye Bachelor una uhakika wa kukunja 2M kila mwezi, by the way vipi kuhusu suala la likizo mfano mtu akitaka kutembelea nchi nyingine kwa ajili ya vacation hamna konakona, maana hiyo kazi kila kitu ni amri hakuna kuhoji ukiambiwa no ni no
 
Tpdc utapata advantage ya kusoma nje

Kila sehemu (kasoro serikali kuu na SM) unaweza kusoma nje ukitaka na ukipata. Still bado TPDC wana rate fulani za hatari sana

Hata kama hizi rates hazikupita, unadhani kwa sasa zilikua ngapi. Chances ni kwamba zilikua labda nusu ya hizi proposed
 

Attachments

  • tpdc.png
    27 KB · Views: 90
Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.

Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo.

Suala la oda hili halikwepeki mkuu.

Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…