Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Issue ni kwamba kahamia wapi? Na huko anakokwenda anakwenda kama nani?
Bunge hili hili au? Nadhani inategemea pia uko kitengo gani hapo bungeni! Kuna Jamaa walipata kazi Ofisi ya Bunge wakapangiwa kazi ofisi Ndogo ya Dar, lakini cha kushangaza Muda mwingi wako Dodoma hasa kipindi Vikao vya Bunge ninapochachamaa! Full kusign 150k per diem..
 
Bunge njaa kali tu msijidanganye

IMG_3205.png

IMG_3206.jpg

IMG_3207.jpg

IMG_3208.jpg

IMG_3209.jpg
 
Hello guys! Naomba kujua kama Kuna mtu anayefahamu salary scale ya EWURA na remunerations nyingine kama per diem's, extra duty n.k....je uki compare na TPDC wapi kuna Maslahi bora zaidi?
 
JW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).

Cheti cha Bachelor ni 600k.

Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.

Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..

Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.

Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.

Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.

Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..

Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
Mkuu kwahiyo ina maana ukiwa private mwenye Bachelor una uhakika wa kukunja 2M kila mwezi, by the way vipi kuhusu suala la likizo mfano mtu akitaka kutembelea nchi nyingine kwa ajili ya vacation hamna konakona, maana hiyo kazi kila kitu ni amri hakuna kuhoji ukiambiwa no ni no
 
Tpdc utapata advantage ya kusoma nje

Kila sehemu (kasoro serikali kuu na SM) unaweza kusoma nje ukitaka na ukipata. Still bado TPDC wana rate fulani za hatari sana

Hata kama hizi rates hazikupita, unadhani kwa sasa zilikua ngapi. Chances ni kwamba zilikua labda nusu ya hizi proposed
 

Attachments

  • tpdc.png
    tpdc.png
    27 KB · Views: 90
Mkuu kwahiyo ina maana ukiwa private mwenye Bachelor una uhakika wa kukunja 2M kila mwezi, by the way vipi kuhusu suala la likizo mfano mtu akitaka kutembelea nchi nyingine kwa ajili ya vacation hamna konakona, maana hiyo kazi kila kitu ni amri hakuna kuhoji ukiambiwa no ni no
Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.

Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo.

Suala la oda hili halikwepeki mkuu.

Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
 
Back
Top Bottom