BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Basi ni pazuriMhh. Inazidi by far.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni pazuriMhh. Inazidi by far.
Bunge hili hili au? Nadhani inategemea pia uko kitengo gani hapo bungeni! Kuna Jamaa walipata kazi Ofisi ya Bunge wakapangiwa kazi ofisi Ndogo ya Dar, lakini cha kushangaza Muda mwingi wako Dodoma hasa kipindi Vikao vya Bunge ninapochachamaa! Full kusign 150k per diem..Issue ni kwamba kahamia wapi? Na huko anakokwenda anakwenda kama nani?
Siku zote wanaofaidi ni mabosi kwenye kila taasisiDuuuuh kumbe ni njaa
maboss kila siku wanasaini pesa za vikao na posho za safari sSiku zote wanaofaidi ni mabosi kwenye kila taasisi
Sido wamejaa wezi na watu wa kulindana.sido wakurugenzi na mameneja ndo wanaolipwa vizuri sababu walijijengea kaufalme fulani kuwa wao ni bora kuliko wengineIna maana SIDO hawalipi vizuri? Je halmashauri ya Moshi vijijini?
Hello guys! Naomba kujua kama Kuna mtu anayefahamu salary scale ya EWURA na remunerations nyingine kama per diem's, extra duty n.k....je uki compare na TPDC wapi kuna Maslahi bora zaidi?
[emoji2][emoji2] kvp mkuuUthitubutu
Mkuu kwahiyo ina maana ukiwa private mwenye Bachelor una uhakika wa kukunja 2M kila mwezi, by the way vipi kuhusu suala la likizo mfano mtu akitaka kutembelea nchi nyingine kwa ajili ya vacation hamna konakona, maana hiyo kazi kila kitu ni amri hakuna kuhoji ukiambiwa no ni noJW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).
Cheti cha Bachelor ni 600k.
Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.
Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..
Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.
Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.
Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.
Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..
Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
EWURA naskia nao sio mchezo wako vyemaSijui kuhusu EWURA lakini naomba uende TPDC
Tpdc utapata advantage ya kusoma njeSijui kuhusu EWURA lakini naomba uende TPDC
Ewura is the bestSijui kuhusu EWURA lakini naomba uende TPDC
Naomba utudadavulie kdogo kwanini Ewura is the bestEwura is the best
Tpdc utapata advantage ya kusoma nje
Sio kweli afisa anaeanza tpdc mshahara hafiki hata milioni 2Kila sehemu (kasoro serikali kuu na SM) unaweza kusoma nje ukitaka na ukipata. Still bado TPDC wana rate fulani za hatari sana
Hata kama hizi rates hazikupita, unadhani kwa sasa zilikua ngapi. Chances ni kwamba zilikua labda nusu ya hizi proposed
Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.Mkuu kwahiyo ina maana ukiwa private mwenye Bachelor una uhakika wa kukunja 2M kila mwezi, by the way vipi kuhusu suala la likizo mfano mtu akitaka kutembelea nchi nyingine kwa ajili ya vacation hamna konakona, maana hiyo kazi kila kitu ni amri hakuna kuhoji ukiambiwa no ni no
Za kuambiwa changanya na zako.PSSF
EWURA
NSSF
Hawa jamaa hawatangazi kazi kabisa as if watu hawastafu,hawafi au hawaami.