Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Yeah hilo la kutojiamulia nafahamu mkuu, hata hapa hapa nchini tu ukitaka kutoka mkoa mmoja kuenda mwingine lazima uwe na kibali huwezi kujiamulia tu, nilitaka kushangaa hilo la kutokuruhusiwa kusafiri nje ya nchi hata kwa kibali
Yah hata ndani ya mkoa lazima uwe na kibali na unapofika unaripoti.
 
Nasikia ofisi ya Mkaguzi (Naot) nao wanakula sana keki ya taifa hususani kipindi cha ukaguzi kikianza.

Mwenye a,b,c na d atupe mawili matatu.

Cc😑Mwifwa.
Stori za vijiweni hizo
 
Nyie vijana nani kawaambia Takukuru iingie hapo,ni salary za kawaida tuu
 
@bidam90 Kuna hawa jamaa wengine wanaitwa PURA vipi wao ukiwacompare na Ewura & TPDC? Msaada hapo Mkuu kama una ABCD yoyote?
PURA pia sio pabaya sana ila mwanzoni wakati inaanzishwa ndo ilikuwa vizuri zaidi sababu walikuwa wachache na ndo walikuwa wanaandaa miongozo so safari zilikuwa nyingi. Bado wanaendelea kutafuta vyanzo vipya vya kuingiza pesa ukiachana na tozo tu za kampuni zinazozalisha gesi Lindi na Mtwara.Labda kwa baadae mradi wa kubadili gesi kuwa maji(LNG) ukikamilika hapo watakuwa vizuri zaidi. Ila ni pazuri Ukilinganisha na TPDC.Ila hizo taasisi zote mbili (TPDC NA PURA) huwezi linganisha na EWURAπŸ˜€.
 
NIRC&HALMASHAURI the same tu kwenye salary. hakuna miujiza yoyote ya posho wala nini! kuna mwanangu nimemkuta huku anauza maziwa ili asavaivu

serikali ifanye tathmin scale za watumishi wa halmashauri. wengi macho yamekua mekundu kisa stress
Halmashauri inategemea na makusanyo yao yakoje na Mkurugenzi pia kama habani .. mfano kama Manispaa ya Kinondoni kila mwezi wanapewa posho laki tatu kwa wote mpaka watu wanaojitolea

Pia kuna kile kipindi cha kuelekea mwisho wa quarter huwa kuna vikao vya Kamati za Kudumu + Ziara

Kwaiyo si haba sana kwa Halmashauri za mjini ila huko bush hali mbaya
 
Mie nahani sehemu za mamlaka ndio zina maokoto sana hata kuliko mashirika.. ni kweli EWURA wako vyema sana.
Napatamania sana basi connection tu imegoma.
 
Shukrani sana kiongozi. Respect
 
Ewura mhandis anaeanza anaweza kuvuta ngap?
 
Hivi kaka TPDC take home kwa technician ni ngap kwa mwezi..?
 
Laiti ungepata fursa ya kuja kushuhudia kidogo, ungekuja kusema ukweli wake humu[emoji23]
naot sijui kwanin mnajificha ficha ktk njaa msiyokuwa nayo πŸ˜‚ 5yrs ago ndio mlikuwa tia maji tia maji, ila hivi karibuni mnajivutia allowances sio haba kama zamani, mmefanya transformation kubwa kimaisha, sikuhiz hadi Education officer wenu ana uhakika wa kula Perdiem...
Ila ni kawaida mtu ukiwa sehem nzuri unapazoea unaona pakawaida unataka uende pazuri zaidi...
 
Hello guys! Naomba kujua kama Kuna mtu anayefahamu salary scale ya EWURA na remunerations nyingine kama per diem's, extra duty n.k....je uki compare na TPDC wapi kuna Maslahi bora zaidi?
Salary ya TPDC kwa upande wa B's anayeanza unaifahamu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…