Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Yah hata ndani ya mkoa lazima uwe na kibali na unapofika unaripoti.Yeah hilo la kutojiamulia nafahamu mkuu, hata hapa hapa nchini tu ukitaka kutoka mkoa mmoja kuenda mwingine lazima uwe na kibali huwezi kujiamulia tu, nilitaka kushangaa hilo la kutokuruhusiwa kusafiri nje ya nchi hata kwa kibali