Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hivi EWURA, PURA na TPDC ni watoto wa baba mmoja (NISHATI) entry level salary zipo sawa au tofauti?
 
Haya niambie NEC wanaiingizia serikali sh.ngapi?
Halafu angalia maisha ya watumishi wa NEC kama utaona anayepanda daladala miaka 5 mfululizo au aliyepanga chumba sebule.
 
Kila sehemu (kasoro serikali kuu na SM) unaweza kusoma nje ukitaka na ukipata. Still bado TPDC wana rate fulani za hatari sana

Hata kama hizi rates hazikupita, unadhani kwa sasa zilikua ngapi. Chances ni kwamba zilikua labda nusu ya hizi proposed
Mkuu huo ni mshahara kwa mwaka au mwezi huko tpdc??
 
Nina ndugu yangu aliapa mwaka jana ameanaza na mshahata wa 1.5M kwa mchanganuo ufuatao
1. Elimu laki 7
2. Kazi laki 6
3. Kombati laki 2
Total 1.5
Cheo cha luteni usu
Sasa huo ni mshahara ukijumlisha na posho inakuja ngapi, na mshahara wa jeshi haukatwi kama uraiani, by the way huyo ndugu yako ana elimu gani
 
Sasa huo ni mshahara ukijumlisha na posho inakuja ngapi, na mshahara wa jeshi haukatwi kama uraiani, by the way huyo ndugu yako ana elimu gani
Nani kakuambia hawakatwi?mnawapaga sifa ambazo hawastahili hata..
 
Nani kakuambia hawakatwi?mnawapaga sifa ambazo hawastahili hata..
Unaelewa kiswahili vizuri kweli "mshahara wao haukatwi kama uraiani", yani hauna makato mengi kama ya uraiani sijasema hawakatwi kabisa, halafu mbona ni kama hampendi kusikia kuwa wanajeshi wanalipwa vizuri
 
Nina ndugu yangu aliapa mwaka jana ameanaza na mshahata wa 1.5M kwa mchanganuo ufuatao
1. Elimu laki 7
2. Kazi laki 6
3. Kombati laki 2
Total 1.5
Cheo cha luteni usu
Kwahyo captain atakuwa analipwa million 4 ?
 
Unaelewa kiswahili vizuri kweli "mshahara wao haukatwi kama uraiani", yani hauna makato mengi kama ya uraiani sijasema hawakatwi kabisa, halafu mbona ni kama hampendi kusikia kuwa wanajeshi wanalipwa vizuri
1.5m ndio mshahara mzuri brother?uko dunia gani mwenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…