Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

EWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye maji,mafuta, gesi na umeme.TPDC wao mapato yao inategemeana na gesi wanayozalisha na kuuza.
Hivi EWURA, PURA na TPDC ni watoto wa baba mmoja (NISHATI) entry level salary zipo sawa au tofauti?
 
Kama unafanya kazi kwenye taasisi ambayo haiingizi pesa serikalini kazi yake inategemea kupewa pesa kutoka serikalini kamwe haiwezi lipa wafanyakazi wake mshahara mnono ,mfano angalia
TRA
TPA
TANAPA
DAWASA
Hawa wote wanaiingizia mapato serikali ndio maana mtaani wanavimba kwa kulipwa mishahara mikubwa,sasa wewe kajichanganye ufanye kazi kwenye taasisi za kutegemea mpaka wapewe fungu kutoka serikali kuu kudadadek utabaki kulia njaa hivyo hivyo na mikopo ya kausha damu juu kama
Temesa
Halimashauri
Sido
Haya niambie NEC wanaiingizia serikali sh.ngapi?
Halafu angalia maisha ya watumishi wa NEC kama utaona anayepanda daladala miaka 5 mfululizo au aliyepanga chumba sebule.
 
Kila sehemu (kasoro serikali kuu na SM) unaweza kusoma nje ukitaka na ukipata. Still bado TPDC wana rate fulani za hatari sana

Hata kama hizi rates hazikupita, unadhani kwa sasa zilikua ngapi. Chances ni kwamba zilikua labda nusu ya hizi proposed
Mkuu huo ni mshahara kwa mwaka au mwezi huko tpdc??
 
Nina ndugu yangu aliapa mwaka jana ameanaza na mshahata wa 1.5M kwa mchanganuo ufuatao
1. Elimu laki 7
2. Kazi laki 6
3. Kombati laki 2
Total 1.5
Cheo cha luteni usu
Sasa huo ni mshahara ukijumlisha na posho inakuja ngapi, na mshahara wa jeshi haukatwi kama uraiani, by the way huyo ndugu yako ana elimu gani
 
Sasa huo ni mshahara ukijumlisha na posho inakuja ngapi, na mshahara wa jeshi haukatwi kama uraiani, by the way huyo ndugu yako ana elimu gani
Nani kakuambia hawakatwi?mnawapaga sifa ambazo hawastahili hata..
 
Nani kakuambia hawakatwi?mnawapaga sifa ambazo hawastahili hata..
Unaelewa kiswahili vizuri kweli "mshahara wao haukatwi kama uraiani", yani hauna makato mengi kama ya uraiani sijasema hawakatwi kabisa, halafu mbona ni kama hampendi kusikia kuwa wanajeshi wanalipwa vizuri
 
Nina ndugu yangu aliapa mwaka jana ameanaza na mshahata wa 1.5M kwa mchanganuo ufuatao
1. Elimu laki 7
2. Kazi laki 6
3. Kombati laki 2
Total 1.5
Cheo cha luteni usu
Kwahyo captain atakuwa analipwa million 4 ?
 
Unaelewa kiswahili vizuri kweli "mshahara wao haukatwi kama uraiani", yani hauna makato mengi kama ya uraiani sijasema hawakatwi kabisa, halafu mbona ni kama hampendi kusikia kuwa wanajeshi wanalipwa vizuri
1.5m ndio mshahara mzuri brother?uko dunia gani mwenzetu?
 
Back
Top Bottom