Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Naomba kuuliza kuhusu tanesco vipi ajira zao wanaajiri wenyewe au wanapitia utumishi
Msaada tafadhali
Walikua wanapitia utumishi, Sasha akaruhusu waajiri. Mshahara wao kwa entry 1.8M mwenye degree.
 
Hawa wanalipwa 760K. Mwenye degree sema posho kama zote. Huo ni mshahara kabla ya ongezeko la Samia. Pia Samia kawaongezea teaching allowance, house allowance walimu wanakula maisha jaman🤣🤣
Teaching allowance and house walimu wa nchi gani?
 
Vipi kuhusu NACP ,salary Yao ni sh ngapi? Na vipi kuhusu activities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…