RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Walikua wanapitia utumishi, Sasha akaruhusu waajiri. Mshahara wao kwa entry 1.8M mwenye degree.Naomba kuuliza kuhusu tanesco vipi ajira zao wanaajiri wenyewe au wanapitia utumishi
Msaada tafadhali