Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mashirika ya Umma usidhani wanalipwa mshahara tu, Bali wanalipwa extraduty, Incentives, kuna vikao, kuna safari, akijumlisha vyote anaweza kufika 5m
 
Mashirika ya Umma usidhani wanalipwa mshahara tu, Bali wanalipwa extraduty, Incentives, kuna vikao, kuna safari, akijumlisha vyote anaweza kufika 5m
Sasa mbona hata wanajeshi nao wanalipwa hizo
 
Kama ndio mtiririko basi ni uongo Tena uongo mkubwa sana
 
Tanapa + posho wanakimbiza. Posho ya tawa na tfs bado hawafikii moto wao
for the record askari wa tanapa, private anakimbiza polisi, tpdf kwa basic salary
Yaani mi mwenyewe Tanapa lakini nashangaa unayoandika duuh! Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa Giza,endelea kuwapanga
 
MTOA MADA UNGESEMA TU TAASISI ZINAZO ONGOZA KWA WATU KUIBA SANA HAPO TUNGEKUELEWA.
 
Mkuu unawajua vizuri TFS au unasema tu.?
Kaka kwani hapo TFS au TAWA kwa level ya diploma take home zao zinaenda paka ngap..? Au tu mtu wa diploma TFS au TAWA posho zake zinaenda paka Tsh ngap..? Then ndio tuone nani yupo juu kuliko mwenzie
 
Yaani mi mwenyewe Tanapa lakini nashangaa unayoandika duuh! Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa Giza,endelea kuwapanga
Hivi kaka kuna utofaut mkubwa wa malipo kati ya hao Tanapa, tawa na tfs kama watu wanavyozungumzia au hawapishan sana
 
Wakuu nipeni connection ya Taasisi yoyote ya mambo ya Kilimo huko Lindi au Mtwara... Nataka nikalime na korosho kabisa.
 
TRA ilitakiwa iwe top 5
 
TAZAMA PIPELINE
 
Vipi kuhusu TCRA
 
Koplo/sajenti yupi nchi hii ana mshahara wa 1.8+M? Acha uongo mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…