Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

ina maana ofisi ya mkaguzi mkuu wao hawpo ktk list wana jinyima nyima au ? mfano mkaguzi wa mkoa ana fall ktk scale ipi
 
Tuambie ukweli basi,unapinga kitu afu husemi huo ukweli unaoujua.
Achana na huyo anayepinga hakuna anachojua, TAA njaa sana, salary ndogo posho haizidi 80k na posho iyo mpaka iingie ni kwa kusubiri sana, safari ni kwa viongozi tu na ni kwa kujuana, hakuna overtime.

Ni njaa tupu, kama upo nje ya Taasisi huwezi kuelewa.
 
Degree anaanza na ngap?
 
1.Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)
2. Tanzania Communication Regulatory Authority
3.Ngorongoro Conservation Area Authority
4.Tanzania National Parks
5. BOT
6. EWURA
7.WCF
Habari kk? Naomba kujua TCAA wapoje in terms of Salary na Benefits nyingine
 
Na hii kutumia Mshahara wa TGS.. ni kweli?
 
Kwenye tangazo la kazi kwa Engineers nimeona wanaanza na TAAS 5. Hao sio senior wala managerial. Wanalamba Tsh. ngapi ma-engineer II
 
Totally,wrong infor.Kumbe huku mtu anaweza kusema uongo kwa kujiamini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…