Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania


Tangu waitwe, its 2months now wanasubiri kuitwa. Same na wake wa TAWA
 
Nimesikita kuwa katika taasisi zenye mishahara mizuri, taasisi zinazolea watoto wetu kuwa watu bora.
Taasisi ambazo zinatakiwa kuleta bunifu zitakazochochea uchumi wetu, na kutengeneza ajira, hakuna hata moja kwenye list.
Sijaona taasisi ambazo watu wake wanapigania uhai wetu. Je, ni sahihi kuendelea kumlaumu mzungu kwa umaskini wetu waafrica?
 
Huo Unono ndio kiwango gani??Yamkini hata mimi nalipwa mshahara mnono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…