Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Jamani mwenye connection ya udereva kwenye taasisi zenu mtutupie na sisi wakuu mtaani kumebana sana wakuu. Doh, hatari sana...!
 
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..


Sent using Jamii Forums mobile app
Asee CMSA wako nema jamani, ila kwa sababu wanachokifanya sio core business ya watanzania wengi ndo maana bado haifahamiki
 
Ila wakati mwingine kuufikiria sana mshahara ni kujifunga kengele ya kutokupiga hatua kimaendeleo. You have to venture outside the box
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro...
Ila kote huko bado watu wanakimbia kuwa mishahara finyu sasa ukweli wa wao na na ulichoongea wewe nan yupo sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…