Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
-salary scale hiyo ndiyo halisi, unadhani wanalipwa milioni kumi?Teh kama ndivyo ulivyodanganywa kwamba luteni anapokea 1.5M basi naomba niishie hapa kwa sababu nimeshajua hakuna unalojua kuhusu salary scales za jeshi! Na naona kuhusu bajeti kujadiliwa bungeni umekosa hoja umebaki kushikilia hilo neno la "haijadiliwi" wakati nimeshakufafanulia kuhusu hilo!
Nyie watu mmebishana vya kutosha,kungekua na jukwaa la ndondi nadhani leo mngezichapa.-salary scale hiyo ndiyo halisi, unadhani wanalipwa milioni kumi?
-huwezi kunifafanulia mtu mwenyewe unaamini bajeti ya Jeshi haijadiliwi bungeni, ndio maana nikakwambia utakuwa na elimu ya form6 huna degree
Kweli jamaa wamebishana. Lakini nimegundua mmoja kapigwa za uso japo sitamtajaNyie watu mmebishana vya kutosha,kungekua na jukwaa la ndondi nadhani leo mngezichapa.
- wewe haupo TRA unaweza full stop,Kwahiyo nisipojibu maana yake siko TRA? Ndiyo point yako siyo?
-- tuko mahakama gani na kwa kesi ya aina gani? , By the way mzigo wa kuthibitisha uko kwako kwamba uko TRA au hauko TRA, lakini kwa 'conduct' yako ya kutokujua vitu vidogo vidogo inaonesha hauko TRA unless uthibitisheKazi ipo! Hivi mfano ndiyo ungekuwa mahakamani unaulizwa tupe ushahidi kuwa huyu hayuko TRA ndiyo ungejibu hivyo kuwa ni kwa sababu hajajibu mshahara wa meneja wa wilaya?
-hoja ya we kuishia Form six imekuja baada ya wewe kushindwa kutambua Mambo madogo madogo tu mfano kwamba hakuna Wizara ambayo Bajeti yake haijadiliwi bungeni, Sasa kwa mtu mwenye degree hujui hata hilo?We jamaa bhana kwahiyo mshahara wao unategemea na elimu yangu mimi na ujuzi wangu mimi kuhusu bajeti yao bungeni siyo? Kwamba kwa sababu wewe unahisi mimi nimeishia form six basi ndiyo inabadilisha ukweli kuwa luteni analipwa hivyo?
-mzigo wa ku disprove uko kwako Sasa sio kwanguKwahiyo nisipojibu maana yake siko TRA? Ndiyo point yako siyo?
- Mimi niwaonee wivu ili iweje? Kama wanalipa vizur Mimi Sina tatizo tatizo ni la kwako la kushindwa kutambua Mambo madogo madogoUnajua mimi sielewi kinachokufanya urukeruke hadi sasa ni kwamba mnawaonea sana wivu wanajeshi kwa sababu ya chuki zenu juu yao na hamtaki kukubali kuwa maafisa wa jeshi kuanzia nyota moja wanakula maisha au? Maana hata jeshini wanalipa kutokana na profession luteni mwenye degree ya udaktari analipwa zaidi kuliko luteni mwenye degree ya sheria!
Frilensa pasko analipwa sh ngapiWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
-wapi Mimi kwenye majibu yangu ya msingi hapo juu nimesema usipothibitisha ndio Jeshi halilipi vizur? Mimi majibu yangu nilikuuliza maswali kwamba tuko mahakama gani na kwa kesi gani mbona Hilo hujajibu? Na nikakwambia mzigo wa kuthibitisha uko kwako sio kwangu au hujaelewa hilo?Hahaaa kwahiyo nisipokuthibitishia ndiyo maana yake jeshi halilipia vizuri siyo? Yaani mimi kukuthibitishia kuwa niko au siko TRA kunahusikaje na jeshi kulipa vizuri ndiyo ninachotaka unijibu hapa mkuu naomba sasa usikwepe hili swali!
-yaani we kwa ufahamu wako unaamini hicho alichosema huyo ? Na kama hujasoma vizur mwishoni kaandika "I stand to be corrected" tafsiri yake hana uhakika wa kutosha ni taarifa ya kuambiwa tu ambayo kimsingi huwezi kuitumia Kama uthibitishoTeh watakuja kukuambia TRA tuna pesa za magumashi! Kana kwamba pesa za magumashi ni mandatory na constant kwa kila muajiriwa wa TRA kama ilivyo kwa mshahara na posho!
-Wapi umenifafanulia Mimi kuhusu suala la bajeti? Wakati Mimi ndiyo nimekufafanulia kwa sababu mwanzoni ulisema bajeti ya JESHI haijadiliwi bungeni nikakwambia sio kweli na nikakupa mafungu ya wizara ya ulinzi yako matatu ambayo ni Wizara,Ngome na Jkt Fungu 57,Fungu 38, Fungu 39, ukahama ukasema bajeti ya Jeshi haipingwi nikakwambia tangu lini umeona bunge letu limepinga bajeti/ limekataa kupitisha Bajeti unakumbuka ulichokijibu tena?Naona unalazimisha kurudi kule kule kwenye bajeti ya wizara kitu ambacho nilishakufafanulia! Halafu ona unavyozidi kudhihirisha ni jinsi gani huna uelewa wowote kuhusu jeshi kabisa eti unasema kuna luteni wa form six!
Miaka hii hakuna mtu anavalishwa nyota akiwa na elimu ya form six! Wanaochukuliwa wakiwa na elimu ya form six huwa wanasomeshwa kwanza degree na jeshi kisha ndiyo wanakuja kupiga course ya uafisa ili wawe maluteni usu!
Na nimeshakuambia maluteni usu wanatofautiana mishahara kulingana na profession! Wewe endelea tu kuidiscuss elimu yangu eti kwa vile kuna maswali ambayo nimekataa kukujibu either kwa hiari yangu au kwa faida ya hiko chombo!
- Sasa Mkuu unasema ulioneshwa na maafisa wa Jeshi Sasa Hilo tutathibitishaje kwamba ulioneshwa? Wakati unaoneshwa ulikuwa na nani? Mimi ambaye tunabishana nilikuwepo?Uliamua kutoka nje ya mada na cha ajabu ndiyo ukaamua kushikilia hapo hapo! Tatizo ni ulipodhani kuwa mimi ni mwanajeshi au nawatetea wanajeshi na ukahisi sijui mishahara yao nimetunga tu from nowhere wakati mimi naongea uhalisia kutokana na salary slips nilizooneshwa na maafisa wa jeshi ninaowafahamu sasa mimi nitunge ili inisaidie nini?
Nikuwekee salary slip yangu?? Sina uhakika wa baadhi ya maeneo ila najua mishahara ikoje. Mshahara wangu unafanana wa cheo kama changu, hivyo naangalia walionizidi na niliowazidi mishahara yao ndio nimeweka hapo.-yaani we kwa ufahamu wako unaamini hicho alichosema huyo ? Na kama hujasoma vizur mwishoni kaandika "I stand to be corrected" tafsiri yake hana uhakika wa kutosha ni taarifa ya kuambiwa tu ambayo kimsingi huwezi kuitumia Kama uthibitisho