Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Teh kama ndivyo ulivyodanganywa kwamba luteni anapokea 1.5M basi naomba niishie hapa kwa sababu nimeshajua hakuna unalojua kuhusu salary scales za jeshi! Na naona kuhusu bajeti kujadiliwa bungeni umekosa hoja umebaki kushikilia hilo neno la "haijadiliwi" wakati nimeshakufafanulia kuhusu hilo!
-salary scale hiyo ndiyo halisi, unadhani wanalipwa milioni kumi?
-huwezi kunifafanulia mtu mwenyewe unaamini bajeti ya Jeshi haijadiliwi bungeni, ndio maana nikakwambia utakuwa na elimu ya form6 huna degree
 
-salary scale hiyo ndiyo halisi, unadhani wanalipwa milioni kumi?
-huwezi kunifafanulia mtu mwenyewe unaamini bajeti ya Jeshi haijadiliwi bungeni, ndio maana nikakwambia utakuwa na elimu ya form6 huna degree
Nyie watu mmebishana vya kutosha,kungekua na jukwaa la ndondi nadhani leo mngezichapa.
 
Kazi ipo! Hivi mfano ndiyo ungekuwa mahakamani unaulizwa tupe ushahidi kuwa huyu hayuko TRA ndiyo ungejibu hivyo kuwa ni kwa sababu hajajibu mshahara wa meneja wa wilaya?
-- tuko mahakama gani na kwa kesi ya aina gani? , By the way mzigo wa kuthibitisha uko kwako kwamba uko TRA au hauko TRA, lakini kwa 'conduct' yako ya kutokujua vitu vidogo vidogo inaonesha hauko TRA unless uthibitishe
 
TRA MISHAHARA YAO INAKUWAGA HIVI.
TMA II 1.6M
TMA I 1.8 - 2+ M
TMO II 2.2 M
TMO I 2+ -3+ M
STMO 4-5 M
PRINCIPAL 6+ M
MANAGERIAL POSITION ZA TRA hazitofutiani sana na hao PRINCIPAL kwa maana ukiwa PRINCIPAL unakuwa na sifa za kuwa Manager.

TMA ni DIPLOMA

TMO ni DEGREE, MASTERS etc

STMO hutegemea uzoefu kazini mara nyingi 9+ yrs kwenye kazi.
PRINCIPAL uzoefu kazini 12+ yrs kazini.

Managerial position, ELIMU KUBWA KIDOGO (Diploma hawezi kuwa MANAGER hata kama ana uzoefu wa kiwango gani labda awe na ziada kama CPA, ACCA etc na hapo atakuwa WILAYANI) UZOEFU, UMAKINI, KUJITUMA.

DIRECTORS WA VITENGO. ELIMU KUBWA, UZOEFU MKUBWA nk

MAKAMISHNA WA KAWAIDA. UZOEFU KAZINI MARA NYINGI KAANZIA 20+ YRS kazini.

MAKAMISHNA (MKUU na MSAIDIZI) hizi ni nafasi za TEUZI KUTOKA KWA RAIS.

NB Kuna kazi zingine kama IT, ICT, HR, MIPANGO, nk mtiririko wake wa mishahara huendana na huo wa juu.
Madereva pia ni kulingana na UZOEFU.

I stand to be corrected.........
 
We jamaa bhana kwahiyo mshahara wao unategemea na elimu yangu mimi na ujuzi wangu mimi kuhusu bajeti yao bungeni siyo? Kwamba kwa sababu wewe unahisi mimi nimeishia form six basi ndiyo inabadilisha ukweli kuwa luteni analipwa hivyo?
-hoja ya we kuishia Form six imekuja baada ya wewe kushindwa kutambua Mambo madogo madogo tu mfano kwamba hakuna Wizara ambayo Bajeti yake haijadiliwi bungeni, Sasa kwa mtu mwenye degree hujui hata hilo?
-halafu kwa kukuongezea ni kwamba Luteni wa form six (Kama ww) huwezi kulipwa sawa na luteni mwenye degree
 
Unajua mimi sielewi kinachokufanya urukeruke hadi sasa ni kwamba mnawaonea sana wivu wanajeshi kwa sababu ya chuki zenu juu yao na hamtaki kukubali kuwa maafisa wa jeshi kuanzia nyota moja wanakula maisha au? Maana hata jeshini wanalipa kutokana na profession luteni mwenye degree ya udaktari analipwa zaidi kuliko luteni mwenye degree ya sheria!
- Mimi niwaonee wivu ili iweje? Kama wanalipa vizur Mimi Sina tatizo tatizo ni la kwako la kushindwa kutambua Mambo madogo madogo
 
F
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Frilensa pasko analipwa sh ngapi
 
Hahaaa kwahiyo nisipokuthibitishia ndiyo maana yake jeshi halilipia vizuri siyo? Yaani mimi kukuthibitishia kuwa niko au siko TRA kunahusikaje na jeshi kulipa vizuri ndiyo ninachotaka unijibu hapa mkuu naomba sasa usikwepe hili swali!
-wapi Mimi kwenye majibu yangu ya msingi hapo juu nimesema usipothibitisha ndio Jeshi halilipi vizur? Mimi majibu yangu nilikuuliza maswali kwamba tuko mahakama gani na kwa kesi gani mbona Hilo hujajibu? Na nikakwambia mzigo wa kuthibitisha uko kwako sio kwangu au hujaelewa hilo?
 
Teh watakuja kukuambia TRA tuna pesa za magumashi! Kana kwamba pesa za magumashi ni mandatory na constant kwa kila muajiriwa wa TRA kama ilivyo kwa mshahara na posho!
-yaani we kwa ufahamu wako unaamini hicho alichosema huyo ? Na kama hujasoma vizur mwishoni kaandika "I stand to be corrected" tafsiri yake hana uhakika wa kutosha ni taarifa ya kuambiwa tu ambayo kimsingi huwezi kuitumia Kama uthibitisho
 
Wakuu acheni ubishani, mimi mwenyewe sijuagi mambo ya bunge. Lakini kuna mambo nayaelewa.

Mkuu Saveya Mtu kuwa form six, four au hajasoma haimanishi mambo yote hayafaham. Hapa ni kutokana na mtu anapenda kufatilia kitu gani.

Me niwashauri tu muache kubishana unless kila mtu aweke salary slip yake hapa mmalize hii vita
 
Naona unalazimisha kurudi kule kule kwenye bajeti ya wizara kitu ambacho nilishakufafanulia! Halafu ona unavyozidi kudhihirisha ni jinsi gani huna uelewa wowote kuhusu jeshi kabisa eti unasema kuna luteni wa form six!

Miaka hii hakuna mtu anavalishwa nyota akiwa na elimu ya form six! Wanaochukuliwa wakiwa na elimu ya form six huwa wanasomeshwa kwanza degree na jeshi kisha ndiyo wanakuja kupiga course ya uafisa ili wawe maluteni usu!

Na nimeshakuambia maluteni usu wanatofautiana mishahara kulingana na profession! Wewe endelea tu kuidiscuss elimu yangu eti kwa vile kuna maswali ambayo nimekataa kukujibu either kwa hiari yangu au kwa faida ya hiko chombo!
-Wapi umenifafanulia Mimi kuhusu suala la bajeti? Wakati Mimi ndiyo nimekufafanulia kwa sababu mwanzoni ulisema bajeti ya JESHI haijadiliwi bungeni nikakwambia sio kweli na nikakupa mafungu ya wizara ya ulinzi yako matatu ambayo ni Wizara,Ngome na Jkt Fungu 57,Fungu 38, Fungu 39, ukahama ukasema bajeti ya Jeshi haipingwi nikakwambia tangu lini umeona bunge letu limepinga bajeti/ limekataa kupitisha Bajeti unakumbuka ulichokijibu tena?
-Kuhusu Luteni form six wapo, ila wanatofautiana kimaslahi na Maluteni wenye Taaluma kwa sababu mwenye Taaluma analipwa professional allowance, na Kingine akiajiriwa anaenda kwenye kitengo chake mfano Dr hospital ya Jeshi
-
 
Uliamua kutoka nje ya mada na cha ajabu ndiyo ukaamua kushikilia hapo hapo! Tatizo ni ulipodhani kuwa mimi ni mwanajeshi au nawatetea wanajeshi na ukahisi sijui mishahara yao nimetunga tu from nowhere wakati mimi naongea uhalisia kutokana na salary slips nilizooneshwa na maafisa wa jeshi ninaowafahamu sasa mimi nitunge ili inisaidie nini?
- Sasa Mkuu unasema ulioneshwa na maafisa wa Jeshi Sasa Hilo tutathibitishaje kwamba ulioneshwa? Wakati unaoneshwa ulikuwa na nani? Mimi ambaye tunabishana nilikuwepo?
 
-yaani we kwa ufahamu wako unaamini hicho alichosema huyo ? Na kama hujasoma vizur mwishoni kaandika "I stand to be corrected" tafsiri yake hana uhakika wa kutosha ni taarifa ya kuambiwa tu ambayo kimsingi huwezi kuitumia Kama uthibitisho
Nikuwekee salary slip yangu?? Sina uhakika wa baadhi ya maeneo ila najua mishahara ikoje. Mshahara wangu unafanana wa cheo kama changu, hivyo naangalia walionizidi na niliowazidi mishahara yao ndio nimeweka hapo.
Mishahara ya Maofisa wa TRA inacheza hapo. Iwe HR, Mhasibu, IT, wale Customs, Domestic nk. Elimu yako hukubeba kwenye ajira zinazohitaji kiwango fulani cha elimu nk nk nk.
JF bhna mtu anabishana na mtu ambaye yupo hapo for years kituko kweli. I stand to be corrected nimemaanisha kama siko sawa mtu aje aweke detail zake sahihi. Ila najua sana hivyo viwango. Extra Duty ndio hutubeba tena baadhi ya mikoa ni michosho tu. Kwa mwezi unaweza pata 400k, 300k, 200k, 100k kutegemeana na Level yako na siku ulizofanya kazi.
Mbona jamaa amekuelewesha tu. Au kusema hana uhakika kati ya Meja wa JWTZ na Kamishna wa forodha ndio kigezo cha yeye kutokuwa TRA?? TRA kuna, HR, UGAVI, IT, nk hivyo sio kila mmoja ana access ya kujua kila kitu.

JIONGEZE MZEE.
 
Back
Top Bottom