TRA MISHAHARA YAO INAKUWAGA HIVI.
TMA II 1.6M
TMA I 1.8 - 2+ M
TMO II 2.2 M
TMO I 2+ -3+ M
STMO 4-5 M
PRINCIPAL 6+ M
MANAGERIAL POSITION ZA TRA hazitofutiani sana na hao PRINCIPAL kwa maana ukiwa PRINCIPAL unakuwa na sifa za kuwa Manager.
TMA ni DIPLOMA
TMO ni DEGREE, MASTERS etc
STMO hutegemea uzoefu kazini mara nyingi 9+ yrs kwenye kazi.
PRINCIPAL uzoefu kazini 12+ yrs kazini.
Managerial position, ELIMU KUBWA KIDOGO (Diploma hawezi kuwa MANAGER hata kama ana uzoefu wa kiwango gani labda awe na ziada kama CPA, ACCA etc na hapo atakuwa WILAYANI) UZOEFU, UMAKINI, KUJITUMA.
DIRECTORS WA VITENGO. ELIMU KUBWA, UZOEFU MKUBWA nk
MAKAMISHNA WA KAWAIDA. UZOEFU KAZINI MARA NYINGI KAANZIA 20+ YRS kazini.
MAKAMISHNA (MKUU na MSAIDIZI) hizi ni nafasi za TEUZI KUTOKA KWA RAIS.
NB Kuna kazi zingine kama IT, ICT, HR, MIPANGO, nk mtiririko wake wa mishahara huendana na huo wa juu.
Madereva pia ni kulingana na UZOEFU.
I stand to be corrected.........