Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ndiyo maana nikasema "mfano" tuko mahakamani unaelewa maana ya mfano? Mfano mimi nimethibitisha kisha wewe ukapinga ukaulizwa ueleze kwanini unapinga ndiyo utajibu hivyo kuwa ni kwa sababu sijajibu maswali fulani fulani?
-Umejikita kwenye hypothetical tu, sisi tuko kwenye uhalisia, ndiyo maana hapo awali nilikuuliza tuko mahakama gani na kwa kesi gani ili tujue jinsi ya kujenga hoja
 
-Suala ya kuweka salary slip ni uamuzi wako binafsi,Mhasibu analingana na Hr unajua ili uitwe Mhasibu ni lazima uwe Ni CPA T, otherwise wewe ni afisa hesabu ii,
-Mimi nitathibitishaje kwamba upo hapo for years?
 
-Suala ya kuweka salary slip ni uamuzi wako binafsi,Mhasibu analingana na Hr unajua ili uitwe Mhasibu ni lazima uwe Ni CPA T, otherwise wewe ni afisa hesabu ii,
-Mimi nitathibitishaje kwamba upo hapo for years?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu ubishi wa kitoto unaleta. Hiyo sheria sijui ya kuita Afisa hesabu unajua imeanza kutumika lini? Mi wakati naajiriwa wenzangu waliajiriwa kama wahasibu bila kuwa na CPA mzee, mm sikuomba huo uhasibu sasa. Afu unayemuelekeza kuhusu huo uhasibu ana ACCA mzee sio tu upuuzi wa CPA T za mchongo.

Mi nimejaribu kukupa picha tu, uone mishahara ya TRA ilivyo. Mi binafsi naona njaa kali tu, upige mishe wakati huo TAKUKURU muda wote wanakusaka kwenye njia zao.
TRA SACCOS naona michosho hivyo madili ndio hufanya watu washine, lkn mshahara sio mkubwa kama mnavyodanganyana huku jukwaani.
 
Reactions: apk
-tafsiri yake ndiyo hiyo kwamba anaweza akawa amekosea aidha kwa kuzidisha au kuongeza, hivyo basi anaomba kusahihishwa kwa yeyote' anayejua' kwa ufasaha,
--Unasema inategemea na proffesion hapo hauko sawa Ukishaajiriwa kuwa Tax Management Officer II uwe umesomea Finance, Accounting, Business administration, Taxation, salary scale Ni ile ile kwa sababu kinachoangaliwa ni position na qualifications tu
 
-ninachojaribu kakufundisha unapokuwa kwenye malumbano usitumie ushahidi wa kuambiwa, unachotakiwa ni kwenda straight kwamba Mshahara wa kitengo fulani ni 10M (at least) utaonekana Kuna kitu unasimamia.
 
-ninachojaribu kakufundisha unapokuwa kwenye malumbano usitumie ushahidi wa kuambiwa, unachotakiwa ni kwenda straight kwamba Mshahara wa kitengo fulani ni 10M (at least) utaonekana Kuna kitu unasimamia.
Mkuu TRA sio kihivyo, njaa kali mpaka Tar kama hizi hali tete, Tunabet tu now kusogelea tar 24.
 
-Hakuna luteni aliyeishia form six mkuu labda kwenye jeshi lako! Kuhusu bajeti siyo wewe kuna sehemu umesema kuwa bajeti inarekebishwa saa hizi tena unasema hakuna bajeti inayopingwa?
--hakuna Luteni form six? Hayo unayoyasema ww ndiyo mkuu wa utumishi jeshini? Kwamba umepekua mafaili yote ukakuta hakuna? Mimi Sasa nasema wapo tena wengi tu
-Unajua maana ya kurekebisha na kupinga/kufuta, kurekebisha maana yake unaondoa baadhi ya vitu au unaongeza au kwa kupunguza ili kiwe Bora, Kupinga maana yake hiyo bajeti haipitishwi bungeni, nisome vizur
 
Mi nimekoswa juzi tu mamaeee..
 
Mkuu TRA sio kihivyo, njaa kali mpaka Tar kama hizi hali tete, Tunabet tu now kusogelea tar 24.
-Kuhusu suala la njaa ni lako binafsi kwa sababu Kuna Mambo Mengi kwenye salary mfano mtu ana mikopo benki, matumizi makubwa kupita kiasi nk
 
-Nimekutolea utaofauti wa CPA na asiye na CPA, hayo masuala ya CPA za michongo hayo ni yako binafsi na ww kazana uipate uache kuita za michongo.
 
Nilishakutajia mshahara wa luteni usu ila bado ukaendelea kuleta ligi wakati hauna uhakika! Hata ningekuwa sijaoneshwa hizo salary slips bado haibadilishi ukweli wa wanacholipwa!
- kwa Nini Sasa kwenye kujenga hoja zako unapenda kutumia ushahidi wa kuambiwa? halafu wakati huo huo unachukua mifano ya 'mahakamani' hivi unajua uzito wa ushahidi wa kuambiwa?
 
We jamaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] bhana.
 
Nilishakutajia mshahara wa luteni usu ila bado ukaendelea kuleta ligi wakati hauna uhakika! Hata ningekuwa sijaoneshwa hizo salary slips bado haibadilishi ukweli wa wanacholipwa!
- kwa Nini Sasa kwenye kujenga hoja zako unapenda kutumia ushahidi wa kuambiwa? halafu wakati huo huo unachukua mifano ya 'mahakamani' hivi unajua uzito wa ushahidi wa kuambiwa?
Ninayo CPA tangia 2014, na ACCA tangia 2016. Niliplan kuisaka CIMA sema umri na majukumu yananiambia nijaribu PhD [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
Sawa Kama unayo
 
Oohh kumbe ni wewe ndiyo unasema basi sawa haina shida mkuu endelea tu kusema! Bajeti ya jwtz hairekebishwi aliyekudanganya vingine muambie akuombe msamaha!
- toa sababu za kisheria na kikatiba zinazolifanya bunge lishindwe kurekebisha Bajeti ya Wizara ya Ulinzi kabla haija ipitisha
 
Mkuu kuna njia nyingi za mtu kupata taarifa zikiwemo kuambiwa na kuthibitisha mwenyewe! Mimi njia zote hizo nimezifanya hivyo ninapokutajia mishahara yao siyo tu kuwa ni kwa sababu nimeambiwa bali ni kwa sababu nimethibitisha!
-Umethibitisha kwa kiwango gani?
-Hivi unajua uzito wa ushahidi wa kuambiwa? Na je unajua ni kwa mazingira gani ushahidi wa kuambiwa unatumika mf.mahakamani ambapo awali ulitolea mfano.
 
-ujenzi wako wa hoja haujakomaa umekaa kizamani zamani hivi ww kwa akili yako unaona ni sawa kwa gari ya Jeshi kupita Sehemu isiyohusika? hapa umeonesha kutokuwa na uelewa na upambanuzi wa Mambo na bado una utoto wa kuamini Jeshi ndiyo lenye nchi, ingekuwa ndiyo lenye nchi wangekuwa hawahojiwi matumizi yao Wala ukaguzi wa CAG usingekuwa unafanyika huko, privilege zote za Jeshi ziko kwa mujibu wa Sheria hata maduka ya bei nafuu yale ni baada ya Bajeti kupelekwa bungeni na finance act kutungwa ambayo itatoa excemptions za ushuru wa bidhaa wa baadhi ya bidhaa na huduma za Jeshi.
-Privileges za Jeshi zote zipo kwenye Bajeti, inaonekana ww hujawahi kusoma Bajeti za Wizara ukisoma Bajeti ya Wizara ya Ulinzi utakuta mchanganuo wote, Mfano unakuta Bajeti ya jumla ni Trilioni 2.3 (Bajeti ya 2021 - 2022), unakuta kabisa mishahara Ni kiasi gani, Posho za majenerali ni kiasi gani,Kama Wana misamaha ya kikodi pia huwa inaandikwa pia, bajeti ya Mafunzo kwa Askari pia imo humo ndani, au unataka nikuletee Makadirio ya Mishahara na Posho za mwaka huu? Ili uamini kwamba hakuna ambacho kinatumika jeshini bunge letu matumizi yake halijaidhinisha.
-Ona usivyokuwa mfuatiliaji wa Mambo eti asilimia kubwa ya Bajeti inapelekwa Jeshini ni uongo, asilimia kubwa ya Bajeti inakwenda Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano ambayo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 ni shilingi trilioni 4.38, Wizara ya Elimu shilingi trilioni 5.26 ambayo ni sawa na asilimia 14% ya Bajeti yote, kwa hiyo umeona kwamba ww hauko well-informed na Mambo ya Bajeti mpaka unatoa taarifa za Uongo za kwamba Bajeti ya JESHI Ni kubwa kuliko zote kitu ambacho sio kweli
- Kwa hiyo Sasa umeanza kuongeza vyeo viwili Sasa umeanza kumlinganisha Kanali na Kamishna wa Forodha na ushuru wa bidhaa, na hapa ni lazima utashindwa, haya swali wamekwambia wanalipwaje?
-Taarifa za Jeshi mbona zinasemwa tu except zile chache ambazo ni za Siri, ingekuwa kila kitu ni Siri CAG asingeenda kufanya ukaguzi na kutoa hati, na PPRA wasingeenda kufanya ukaguzi wa manunuzi kuangalia Kama wanazingatia Sheria, ila Sehemu ambayo hata CAG akikagua taarifa zake ni Siri Ni 'Usalama na TAKUKURU' ndiyo huwa hazichapishwi,
-
 
Nyie watu, ebu piganeni ngumi tu yaishe
 

Wewe ni mkweli kabisa, rafiki yangu kaajiriwa huko nimeona hapo mshahara wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…