Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

What do you mean by Mpunga mrefu, please state maana isijekuwa unamaanisha basic ya 3M ndio mpunga mrefu kwako.


Mk54
ndio maana nimekwambia kama una UHAKIKA na ulichokiandika ungenijibu maswali niliyokuuliza..ni jambo lakujibu tuu ili tuache blaa blaa nyingi
Na mimi nikupe evidence ya unachotaka kukisema!
Wakati mwingine kama hatuna research ya tunachokisema bora tuwe kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri
 
Ila kwa mishahara ya Makamishina naona umeweka digit ndefu sana kwenye mishahara..

Hao majamaa najua wanapokea pesa ndefu approching to 10M ila kwa kiwango ulichoandika hapo ukijumuisha na madili wanafika na kuzidi hapo...

Maana ni wazee wa fursa hasa, ndio maana wengi wao wakitumbuliwa wanakuwa kama vichaa, maana fungu wanalokunja mwisho wa mwezi si mchezo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..


Sent using Jamii Forums mobile app
CMSA? taasisi nyingine hata sijawahi kuzisikia? labla ni google ndio nijue zinafanya kazi gani
 

Mimi nina hakika ninachokiongea 100 by far!

hakuna mshahara mzuri Kwenye hizo taasisi isipokuwa marupurupu. Unless you define what do you mean by Mshahara Mzuri!

Najua mpaka mshahara wa Ma DGs wote Tanzania Kwenye taasisi za Umma, na level za mishahara ya watumishi wa Umma.

Na hapa sizungumzii marupu rupu maana hayo marupu rupu, sijui perdiems etc etc sio mshahara , vinaweza kukata muda wowote na wala bank hawakukopeshi kwa kuangalia marupurupu na pesa unazopata kwa deal fake

Ninazungumzia salary ambayo inaingia Kwenye payslip yako. Kwenye hizo taasisi manager anaweza kulipwa kati ya Mil 5- 7M inategemea na taasisisi but take home akacheza kati ya 4-5M.

Na hayo yote soon yameashaanza kubadilika kwa kuwa Utumishi wanataka ku standardize mishahara ya Umma kulingana na level zao. Changamoto mtumishi akishapanda kwenye salary huwezi kumshusha tena!

I don’t see kama unaongea chochote cha maana zaidi ya kutaka kuendeleza mjadala bila kuwa na hoja na data. Weka data zako hapa wacha songi songi........ eti una Uhakika, is that how people discuss? Mad!

Sina cha kujifunza kwako, you better shut up [emoji850] and move on if you can’t define Mpunga mrefu.


Mk54
 

Sawa. Lakini marupu rupu na dili sio sehemu ya Mshahara.


Mk54
 


Mkuu waeekee wanajukwaa proof kuwa unapokea hicho kitita cha 21M[emoji2][emoji2][emoji2]



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…