FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana nimekwambia kama una UHAKIKA na ulichokiandika ungenijibu maswali niliyokuuliza..ni jambo lakujibu tuu ili tuache blaa blaa nyingiWhat do you mean by Mpunga mrefu, please state maana isijekuwa unamaanisha basic ya 3M ndio mpunga mrefu kwako.
Mk54
Kuna watu wanapiga pesa Tanzania hii, sema ndio hivyo hizo pesa zipo kwenye taasisi kubwa kubwa. Achana na hao watoto wanaolipwa na halimashauri.Halafu mtu anakwambia huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa 🤣🤣🤣
VizuriWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Ila kwa mishahara ya Makamishina naona umeweka digit ndefu sana kwenye mishahara..Yaani kujadili na watu wajinga and zero brain ni kupoteza muda for sure na kujishushia heshima hapa JF. Yaani Mtu anakuita Muongo ; hakufahamu , hamjawahi kuonana. Yet anakuita muongo...... are you stupid or have we ever met before,kajifunze ethics za mawasiliano.
Utabaki kuwa maskini na akili zako.
Mk54
CMSA? taasisi nyingine hata sijawahi kuzisikia? labla ni google ndio nijue zinafanya kazi ganiBinafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana nimekwambia kama una UHAKIKA na ulichokiandika ungenijibu maswali niliyokuuliza..ni jambo lakujibu tuu ili tuache blaa blaa nyingi
Na mimi nikupe evidence ya unachotaka kukisema!
Wakati mwingine kama hatuna research ya tunachokisema bora tuwe kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa mishahara ya Makamishina naona umeweka digit ndefu sana kwenye mishahara..
Hao majamaa najua wanapokea pesa ndefu approching to 10M ila kwa kiwango ulichoandika hapo ukijumuisha na madili wanafika na kuzidi hapo...
Maana ni wazee wa fursa hasa, ndio maana wengi wao wakitumbuliwa wanakuwa kama vichaa, maana fungu wanalokunja mwisho wa mwezi si mchezo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka ya mitaji na dhamanaCMSA? taasisi nyingine hata sijawahi kuzisikia? labla ni google ndio nijue zinafanya kazi gani
Mzee mwenzangu sa naskia yule aliekuwaga bosi wa maisha ni nyumba ndo alikuwa anakunja hizoAnaelipwa hivyo labda sio mmbongo kwa asilimia 100%!
Kama ni muhindi au mkaburu ntakubali, ila ngozi nyeusi kulipwa hivyo labda vyeti viwe vinasomeka Cambridge,IST,Wales,Havard n.k!
Mkulungwa alikuwa anajikunjia jax la maana sanaMzee mwenzangu sa naskia yule aliekuwaga bosi wa maisha ni nyumba ndo alikuwa anakunja hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaajiri vibarua?Mm nipo na duka la spea na gereji kwa mwezi on average sikosi Tsh. 12M. Naamin nipo juu kuliko hizo taasis ulizotaja.Na hakuna kenge wakunipangia muda wa kuja wala kuondoka kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi kabisa. Nimefanya kazi taasisi ya Serikali, Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1.5K. Take home ilikuwa laki 9. Miaka 3 baadae nikaenda kwenye NGO, nikawa nalipwa 3.8Mil kwa mwezi na safari kila wakati.
Baada ya miaka 3 wazungu hao hao wakatoa Post kwa wanaotaka kufanya kazi nchi za nje. Tukafanya interview tukapita wachache sana mwishowe tukabaki 3 tu.
Wakatupa shavu kufanya internship Uholanzi mwaka mmoja, baada ya hapo tukapelekwa kwenye vituo vya kazi, mimi nikapangiwa Nambia. Salary yangu niliyoanza nayo ilikuwa ni USD 9, 400 plus house and transport allowance.
Je kuna Afisa anayelipwa hivo serikalini ?
Wakurugenzi (DG)wa taasisi tajwa wengi wanacheza kati ya 15M hadi 20 M plus risk ya kutumbuliwa muda wowote kama Nehemia.
Wenzangu niliowaacha Serikali I am sure mpaka leo bado hawajafika salary ya 4M, tena sidhani kabisa maana sijasikia kupanda kwa madaraja wala salary.
Kibaya zaidi taasisi zote kwa sasa wanatakiwa kufuata sheria za Utumishi wa Umma Kwenye kupandisha salary na madaraja.
Tofauti na mwanzo; taasisi kama MSD, NHIF, TPA zilikuwa zinaajiri wenyewe na wanaviwango vyao vya mishahara na madaraja na ndio maana ukienda hizo taasisi unakuta Mkurugenzi, Manager, Afisa Wote wana Masters yaaani wapo sawa; tofauti yao ni aliyekaa muda mwingi ofisini na mwenye performance nzur.
Yaani hupaswi kuwa jeuri maana inawezekana leo nina report kwako but in few years Wewe uta report kwangu na utakuwa chini yangu.
Hakuna watu wana njaa kama watumishi wa umma; na ndio maana wakurugenzi wa hizo taasisi wanaishi kwa ku deal fake na rushwa. Unashangaa Yaani unakamatwa na Takukuru; ili akuachie Wanakuomba Rushwa lol [emoji23] .
Mk54
Muongo huyo!View attachment 1417650
Mkuu waeekee wanajukwaa proof kuwa unapokea hicho kitita cha 21M[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my iPhone using JamiiForums