Sh 3000/-Sh.ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh 3000/-Sh.ngap?
Chuo cha Nelson Mandela dereva anachukua 1mil na ushee. Bado trip na overtime...!
Sikweli
Usiwe unaandika tu ili mradi nawe uonekane ume-comment muda mwengine uwe unajaribu kuficha ujinga wako itakusaidia kwa njia moja au nyingine mama. Ahsante.
View attachment 1506301
Hilo tangazo lako umeficha ficha sana haielezei ni position gani
Acha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.
Mataasisi mengi mishahara haitofautiani sana. Tofauti inakuja kwenye posho. Wengine wana overtime, safari, training, seminars na workshops nyingi kiasi kwamba unakua hata hukumbuki kama kuna kitu chaitwa mshahara.Actually that isn't supposed to be. All government entities are supposed to submit their revenues to the national coffer. Then the government will pass the budget to pay its workers based on their pay scales.
Tanapa na Ngorongoro walikuwa wanakusanya na kutumia sijui kwa sasa baada ya mwamba ku- centralize makusanyo yao yote kupitia tRA kuingia mfuko mkuu wa hazina!!!Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
Ss ww unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Sema nin mkuu, Nelson Mandela Inst. nasikia wako vizuri, ila kwa bango uliloliweka nadhan hizo ni kazi za miradi kwa maana ya ni ajira ya mradi unaopitia Nelson Mandela Inst na si ajira ya moja kwa moja Nelson Mandela Inst.Usiwe unaandika tu ili mradi nawe uonekane ume-comment muda mwengine uwe unajaribu kuficha ujinga wako itakusaidia kwa njia moja au nyingine mama. Ahsante.
View attachment 1506301
Tra ndio maana inapendwa sana na graduates wanatangaza nafasi 7 watu wanaomba zaidi ya 3900, maana yake tra inaonyesha pengine labda kuna pesa.Mataasisi mengi mishahara haitofautiani sana. Tofauti inakuja kwenye posho. Wengine wana overtime, safari, training, seminars na workshops nyingi kiasi kwamba unakua hata hukumbuki kama kuna kitu chaitwa mshahara.
Kama ni hivi basi PhD ataanza na milioni10
Sema nin mkuu, Nelson Mandela Inst. nasikia wako vizuri, ila kwa bango uliloliweka nadhan hizo ni kazi za miradi kwa maana ya ni ajira ya mradi unaopitia Nelson Mandela Inst na si ajira ya moja kwa moja Nelson Mandela Inst.
Hivyo mshahara hautoki hazina wala Nelson Mandela Inst. ila unatoka kwa donors kwa maana hiyo yawezekana kabisa mshahara wa derevea alieajiriwa na Nelson Mandela Inst. akawa na mshahara mdogo au mkubwa kuliko aliye kwenye mradi uliopo Nelson Mandela Inst.
Mmewasahau wale wazee wa JW, wana balaa laoWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Hawana balaa lolote zaid ya laki tatu za rationMmewasahau wale wazee wa JW, wana balaa lao
NIMR wanalipaje?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
😁😁😁 kwanini jamaniSisi wa TBA tukomenti wapi?
Kwanini jamani🤣🤣 mbona nasikia wapo vizurSisi wa TBA tukomenti wapi?
Hela waitio wapi wazee TSG haoKwanini jamani🤣🤣 mbona nasikia wapo vizur
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Nadhani alimaanisha crane sio folklift kubwa! Kwa crane ni kweli mshahara wake ni kuanzia million 1.5 hadi 2.