Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kufanya kazi taasisi ambayo inalipa let say 3m per month kama hakuna hela za pembeni kupata still life litakua gumu.kuna taasisi nzuri wadau deal kibao zakula pesa.
 
Social Security Regulatory Authority hawa ni moto zaidi ya wote
 
Wafanyakazi wa umma labda watambiane wizi na deals na si mishahara, mishahara ni vichekesho isipokuwa kwa nafasi chache sana kwenye hizo mamlaka, taasisi na mashirika ya umma.

Huwa nikiona salary scales za serikali ndipo huwa nakumbuka ni kwa kiasi gani nchi yetu ni masikini bado.
Tanesco meneja analipwa 4m plus basic na hapo kwa wale wazee waliokaa job mda mrefu unazidi hapo , akipata na over time inaweza kuwa 2m ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi ya madini au hali ya hewa?
Ni TMAA Tanzania Minerals Audit Agency sio ya hali ya hewa km ulisikia mzee baba anaiongelea leo ila nashaangaa vyombo vya habari wanaandika TMA
 
Uongo mtupu,kuna jamaa namjua aliacha Tanesco alikuwa analipwa kilo 8 per month ,na kuna jamaa niliona slip yake kwa mwezi anakula 35m kampuni binafsi na pia kuna mabwana wadogo kibao wanalamba 6m mpaka 15m kwa mwezi kwenye makampuni binafsi na haujayataja kabisa.
Na wewe mbona hujayataja vile vile chief
 
Back
Top Bottom