Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ile pale ya JKT kigoma. Malizia,uliishia ulipomuona askari mrembo anafanana na Sophia. Au ulikuwa unacopy mahala?. Halafu mwenyewe ameichana chana?
Sent using Jamii Forums mobile app
15,567,858.7000TANESCO customer service analamba ngapi?
TBA bado hawajapata mkurugenzi mwenye msimamo kama yule wa MSD aliyeongeza posho ya nyumba bila kibali cha katibu mkuu
Na anafia gerezani Sasa hivi
Huko ni njaa tu labda uwe na cheo walau kuanzia jiwe mojaVip polisi na jwtz nasikia nao wamo,si ndo walinzi wetu
Anaweza kuchomoka
Ipi ya madini au hali ya hewa?Ongezeni TMA haaaah
Hali ya hewaIpi ya madini au hali ya hewa?
1. TPDCSocial Security Regulatory Authority hawa ni moto zaidi ya wote
Tanesco meneja analipwa 4m plus basic na hapo kwa wale wazee waliokaa job mda mrefu unazidi hapo , akipata na over time inaweza kuwa 2m ,Wafanyakazi wa umma labda watambiane wizi na deals na si mishahara, mishahara ni vichekesho isipokuwa kwa nafasi chache sana kwenye hizo mamlaka, taasisi na mashirika ya umma.
Huwa nikiona salary scales za serikali ndipo huwa nakumbuka ni kwa kiasi gani nchi yetu ni masikini bado.
Ni TMAA Tanzania Minerals Audit Agency sio ya hali ya hewa km ulisikia mzee baba anaiongelea leo ila nashaangaa vyombo vya habari wanaandika TMAIpi ya madini au hali ya hewa?
Na wewe mbona hujayataja vile vile chiefUongo mtupu,kuna jamaa namjua aliacha Tanesco alikuwa analipwa kilo 8 per month ,na kuna jamaa niliona slip yake kwa mwezi anakula 35m kampuni binafsi na pia kuna mabwana wadogo kibao wanalamba 6m mpaka 15m kwa mwezi kwenye makampuni binafsi na haujayataja kabisa.