Hizi ndizo dhambi kubwa

Hata ulichokisema ni uongo pia
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina


miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
We dogo kasome kiswahili ndio uje uanzishe uzi! Unatia kinyaa yani “uzizi, zuluma” ndio vitu gani hivyo
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina


miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Kwa hiyo kwako UONGO sio dhambi? Uongo ni kama funguo malaya!!
 
Mungu nisamehe.
Ngoja nimcall maza nimuulize kapungukiwa nini
Safi,,, fanya fasta mcheki hapo bi mkubwa kama kuna zaga kapungukiwa mfanyie makeke,,, mie ngoja nimsomee bi mkubwa wangu japo surat ikhlass tatu kwa kuwa katangulia mbele za haki,,,
 

Hiyo nidhambi ambayo mwanamke anaendelwa nayo hata sasa. Anatafuta kuwa kama mwanamume.
 
Mungu atahukumu Dhambi ya Uzinzi sawa na Ya Kuuwa!Dhambi ni Dhambi inaleta Mauti epuka dhambi mwisho wake ni mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…