Hizi ndizo dhambi kubwa

Hizi ndizo dhambi kubwa

Hatuwezi kukosa pa kuiweka hii!
Hii inakaa kwenye ushirikina!.. cheki mfanano sasa,mlevi akilewa huanza kushirikina na wenzake katika kulewa utasikia tu uko wapi..? Njoo huku tupate mbili tatu wakimaliza wakiwa wanaenda nyumbani wanakosea nyumba sana! Huo ndo ushirikina inakaa hapo halafu hata kwenye uzinzi inakaa maana ulevi na nyege ni kulwa na doto..[emoji23]

Sisi waongo Sasa naona hatupo kwenye list..[emoji41]
Hata ulichokisema ni uongo pia
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina


miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
We dogo kasome kiswahili ndio uje uanzishe uzi! Unatia kinyaa yani “uzizi, zuluma” ndio vitu gani hivyo
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina


miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Kwa hiyo kwako UONGO sio dhambi? Uongo ni kama funguo malaya!!
 
Mungu nisamehe.
Ngoja nimcall maza nimuulize kapungukiwa nini
Safi,,, fanya fasta mcheki hapo bi mkubwa kama kuna zaga kapungukiwa mfanyie makeke,,, mie ngoja nimsomee bi mkubwa wangu japo surat ikhlass tatu kwa kuwa katangulia mbele za haki,,,
 
Dhambi ya kwanza Adamu kuifanya ni Tamaa ( Kutamani Kuwa kama MUNGU kwa kula lile tunda )

Na pili Unaposema mama wa dhambi , Basi hata leo inatakiwa ifanye kazi kanuni yako

Tamaa ni mama wa dhambi hadi leo , - ndiyo chanzo cha uzinifu , ubinafsi , wizi , uongo na dhambi nyingine


Unajua kabisa hii - ni dhambi ila kutokana na tamaa unaamua kuifanya hiyo dhambi iliyo sababishwa na tamaa

Hiyo nidhambi ambayo mwanamke anaendelwa nayo hata sasa. Anatafuta kuwa kama mwanamume.
 
Mungu atahukumu Dhambi ya Uzinzi sawa na Ya Kuuwa!Dhambi ni Dhambi inaleta Mauti epuka dhambi mwisho wake ni mauti.
 
Back
Top Bottom