Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.

Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.

Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika kulipa Shilingi Milioni Moja na Laki Tano kwa siku moja tu.

Ukitaka kucheza mechi pale kama anavyofanya Yanga, basi utalazimika kulipa Shilingi Milioni Tano na Laki Tisa tu. (5,900,000 ) na haijalishi mechi iwe mchana au usiku gharama ni hiyo.

Kwa timu za nje ya Tanzania gharama ya mazoezi ni Dola Elfu Moja ambazo ni sawa na karibu Milioni Mbili na Laki Tano.

Huku timu ya nje ikitaka kucheza hapo Azam Complex watalazimika kulipa Dola Elfu Tano sawa na Tshs Milioni 12 na Laki Tano.

Safi sana Azam Fc endeleeni kufanya maokoto maana timu hamna walau maokoto yapunguze gharama za uendeshaji wa timu.

13AADD43-DEB3-426C-91EB-1986A87851A0.jpeg
 
View attachment 2732630
Mamlaka wafate nyayo za Azam kwa kutoa mkeka wa Kwa mkapa na shamba la bib
 
Umejichosha tu..kulikuwa na haja gani ya hayo maelezo yako si ungeweka tu hilo bango ingetosha
 
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.

Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.

Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika kulipa Shilingi Milioni Moja na Laki Tano kwa siku moja tu.

Ukitaka kucheza mechi pale kama anavyofanya Yanga, basi utalazimika kulipa Shilingi Milioni Tano na Laki Tisa tu. (5,900,000 ) na haijalishi mechi iwe mchana au usiku gharama ni hiyo.

Kwa timu za nje ya Tanzania gharama ya mazoezi ni Dola Elfu Moja ambazo ni sawa na karibu Milioni Mbili na Laki Tano.

Huku timu ya nje ikitaka kucheza hapo Azam Complex watalazimika kulipa Dola Elfu Tano sawa na Tshs Milioni 12 na Laki Tano.

Safi sana Azam Fc endeleeni kufanya maokoto maana timu hamna walau maokoto yapunguze gharama za uendeshaji wa timu.

View attachment 2732630

Wambie tutalipa hio laki 6 taa tunakuja nazo wenyew. Gep la laki 9 ni kubwa
 
Ni sawa, maana unagharamiwa, ila mbona ni hela ndogo sana?
 
Kuna mambo yanaumiza sana moyo. Yanga na simba zina miaka zaidi ya 80, hazina viwanja vya kueleweka! Halafu Azam ya miaka ya 2000's, ina kiwanja cha kisasa!!

Nadhani ifikie wakati viongozi wa hizi timu mbili waache bla bla. Hata kama kuna uwanja wa Taifa, bado na wenyewe wanatakiwa kuwa na viwanja vyao binafsi.

Haileti kabisa mantiki kwa timu kama Yanga kwenda kuhemea uwanja wa Azam, huku uwanja wake wa Kaunda ukigeuka kuwa bwawa la kufugia vyura!
 
Back
Top Bottom