Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Pole mkuu dunia hii ina mambo
Nikutie moyo tu anza kujikubari hivyo ulivyo usiwe mnyonge sana
Kuhusu canceling anza kujifanyia mwenyewe dunia haina usawa

Pole sana darling lakin kwann una date mijishangaza huoni inakutumia na kukubemenda😒
Wewe dada naomba ujibu komenti yangu yoyote alafu na mimi niite darling ,nione itakuwaje kuhusu furaha yangu
 
Ulimwengu una jinsi au namba ambayo huitumia kuwasiliana na mtu. Na moja ya njia hizo nikupitia ndogo, kila unachota kina maana katika maisha yako ya kawaida

Na hakuna mtu anayeweza kukufumbulia fumbo la ndoto uliyoota wakati wewe mwenyewe majibu unayo....

Majibu ya ndogo yako, yako katika maeneno uliyoyaandika hapa.
 
Kukaa mwezi mzima bila kupokea simu ya baba kutazidi kukutengenezea deni la Nafsi, kila simu yake anayo piga na hauipokei, inakuongezea uzito wa hatia kichwani mwako.

Wazazi wengi age go wanakuwaga kama watoto, akikipigia simu, mara nyingi utakuta anahitaji tu kusikia sauti yako mtoto wake ili ajue upo salama na unaendelea vizuri, pesa ni ziada, ingawa kwa mazingira yetu ya kitanzania ni hitaji.


Usisubiri mpaka upate pesa au mpaka uonane na mtu wa kukwambia fanya moja mbili tatu ndo umtafute, vunja Ukimya kwa kumtumia hata meseji kama huwezi kuongea naye kwa sababu ya hofu uliyo nayo labda atakulaumu, itampunguzia yeye wasiwasi (kwamba labda umekufa au umemkataa) na itakupunguzia wewe pia hali ya kuhisi hatia.



Ndugu yangu maisha ya sasa ni magumu kwa kila mtu, na kusoma sio tiketi ya kupata kazi hapo hapo, kuwa mkweli kwa mzee wako ukiwa hauna mwambie mzee leo sina hata mia ukweli humuweka mtu huru kuliko kuwa kimya ukizidi kujiumiza mkuu.


Kwa sasa kwa kuwa hauna permanent source of income, punguza kamari au achana nayo kwanza kwa sababu itazidi kukuongezea msongo wa mawazo, kwa sababu unacheza ukiwa na presha ya kutaka kutatua matatizo ya nyumbani, hii inakufanya upoteze umakini wa kutafuta fursa za kudumu.

Pole sana kwa changamoto mkuu, Mwenyezi Mungu azidi kukukitia nguvu katika wakati huu mgumu unaopitia.
 
Wewe dada naomba ujibu komenti yangu yoyote alafu na mimi niite darling ,nione itakuwaje kuhusu furaha yangu
Jamaniii 😒 nimeona comment zako mala nyingi unataka mishangazi sijui na wewe ni mtu mzima sana au shida ni nini?

Sikiliza darling πŸ₯° gari bovu linakokotwa na zima
Unang'ang'ania mishangazi ina depression uta enjoy lini πŸ˜‰
Et hubby 😍 came on relax 😌
 
Ifike nyakati mue na ustaha wa kauli zenu mtu anaomba tumpe heads up wew unaanza kuponda uandishi wake rubbish πŸ—‘
 
Naumia sana, umeongea kwa hisia
1. Naomba usije jiongezea majukumu kwa sasa kwa kuoa
2. Nenda nyumbani muone babako mwamby ukweli kuwa haujapata chochote
3. Mambo yako mengi yamejifunga kwa sababu umejitenga na mzazi wako, rudi nyumbani hata mara moja, muone, akutemee mate, akupe mkono wa baraka, ongea naye kiundani..hakafu rudi ukapambane
4. Jitahd kuongea na wazazi wako, unavyowafungia mlango ndivyo na baraka zako zinajifunga
5. Sali kwa imani yako na kwa roho na kweli maana mzaliwa kwanza kuna changamoto

NENDA KWENU ULIKOZALIWA KAFANYE IBADA ZENU, KAAGE NYUMBANI HALAFU RUDI NAKUAMBIA MAMBO MENGI YATANYOOKA

achana na uanaharakati wa ki gen z, miaka inasogea..kaage kwanza home
 
Woiii Seran mama mkwe ushindwe wewe kunieleza kwa mapana kwa binti huyu .
Ona maneno hayo ,jamani naishiwa pawa na daku sinunui maana kwa haya maneno inabidi kesho nisifunge nishinde nayaangalia .
Zama PM dada ,weka namba unywe hata soda aisee umenikosha
 
Mambo hayo!! Ushindwe wewe tuπŸ€—Sasa nisinywe hiyo soda mama mzaa chemaπŸ˜‚
 
Kumbe moyo wako baado unafanya kazi ukipata booster kiduchu tuπŸ€—πŸ’‹πŸ”₯
 
Asante mkuu takutafuta haina shida
 
pole mkuu
 
Usikimbie simu ya mzazi wako kwa sababu ya umaskini Umaskini ni hali ya muda, lakini uhusiano na mzazi ni wa maisha.

Hapo chakufanya ni kumuweka mzazi wazi juu ya hali yako kiuchumi hata kama atakua anadalili za kuonesha kuto kukuelewa hyo itabaki juu yake lakin wew mjuze hali yako itafika mda atakuja kugundua anacho fanya sio kitu cha busara mana tayar utakua umemjuza.

jitume sana najua ni ngumu na sometimes inaumiz mana kwenye utaftaji kuna mda unaona kabsa unacho kitafta hakipo lakin jikaze naamini utatoka hapo ulipo Poor Brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…