G
guest-1793599959
Guest
Ni Damu ya Yesu mkuu.😀Toa msaada basi babu wenye shida tuko wengi humu..
Ni Damu ya Yesu mkuu.😀Toa msaada basi babu wenye shida tuko wengi humu..
Kwahiyo hutaki ninenepe🙄Si utakula mpaka mtaji ?
Ndio wanawatafuta kina nyieSehemu zangu zimeziba
Mimi mzee kwenye biashara yake alimwachia mdogo wetu wa mwisho na yeye ndio mama anamuuliza kuhusu mambo ya hela , sisi wengine labda tujipendekeze tuAlikuwa hasemi kitu sasa sikumwelewa mm nikapita zangu hivi
Unenepee kwenye mtaji wa biashara 😄Kwahiyo hutaki ninenepe🙄
Nimejitolea kuwa mama yako kunzia leo😯Mimi ukiniuliza kuhusu baba sitakujibu mpka nimemuomba Mshana ani adopt
Ukiniuliza kuhusu mama pia sina story ndefu
Ukiniuliza kuhusu ndugu sijui chochote
Ukiniuliza kuhusu mm mwenye 👌
Lakin pamoja na yote is ok
Hiyo inapendezaMimi mzee kwenye biashara yake alimwachia mdogo wetu wa mwisho na yeye ndio mama anamuuliza kuhusu mambo ya hela , sisi wengine labda tujipendekeze tu
Na mimi najitolea kuwa baba ykeNimejitolea kuwa mama yako kunzia leo😯
Sio sana🤗Unenepee kwenye mtaji wa biashara 😄
Baba tayari yupo😂 ukiombwa tumizi ww unatoa?Na mimi najitolea kuwa baba yke
Matumizi ya nini jitu zima hilo likalime hukoBaba tayari yupo😂 ukiombwa tumizi ww unatoa?
Unaona ss akili yako? 🫴🏾Matumizi ya nini jitu zima hilo likalime huko
Umemaliza kila kitu, huyu kinachomsumbua ni validation,
Pokea simu za baba ako aisee,Sasa kijanahilo ndo la kuogopa kweli? Mimi nina mwaka wa pili sahiv simu za wat wa nyumbani sipokei sababu kama hizo. Mtu anajitafuta anapewa majukum kama kajipata shida kibao wakati kipindi sina ajira wananiangalia tu.
Sipokei sim za mzee huu mwaka wa pili now. Na mama yangu mzaz alifariki muda tu so hilo la hivyo mzee lisikusumbue sqna mana maisha yanajengwa hayaokotwi.
Hapo sasaMTA
Multimedia And Animation Technology
Hili ndilo la msingi iwe ajira au connection za ujasiriamali.Ukiachana na hayo pia ingependeza wanajf wakusaidie connection za ajira