Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!

Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika (huu ni mfano), ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!

Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds​

Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.

Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
 
FB_IMG_17265568243604913.jpg
 
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!

Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!

Safari hii kwani hakukuguswa hata kuku?
 
Hatari,vita si Mchezo,tuwaombee Wayamalize.
 
Israel akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Jana Israel kachapika sana halafu sijui mbeya gani akaamua kuweka mambo live maana kwenye live huwezi KU EDIT.Kitu nilichogundua Iran ana silaha zenye nguvu na kazi zaidi ya hizi,ukiangalia mashambulizi ya April na haya Iran 🇮🇷 anampiga Israel kulingana na kosa alilofanya.Nakuhakikishia kama Israel 🇮🇱 akijibu halafu mabasha zake wakajisahau Iran 🇮🇷 atamtwangwa zaidi ya jana,USA 🇺🇸 asiingilie tuone nani atapiwa.ALICHOKIFANYA IRAN JANA NI KUMWAMBIA BABA MKWE (USA) NAENDA KUMKAZA MWANAO NA KWELI MWANAE AKAKAZWA KISAWASAWA
 
Mnavyoshabikia vita utadhani mnajua hata kurusha mshale!
 
Back
Top Bottom