Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Mnavyoshabikia vita utadhani mnajua hata kurusha mshale!
Mnavyoshabikia vita utadhani mnajua hata kurusha mshale!
Hatushabikii vita ila USA na Israel ni wapumbavu kazi kuua raia hasa wanawake na watoto.Halafu walivyokuwa wapumbavu wanauliza wamekufa raia wangapi?Sasa kama watu wameweza kupiga maeneo yenye Air defence systems watashindwa kushambulia nyumba za raia ambazo zina DISH za Dstv tu?
 
Attachments

  • Screenshot_20241002-093842.png
    Screenshot_20241002-093842.png
    427.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241002-093458.png
    Screenshot_20241002-093458.png
    193.7 KB · Views: 6
  • VID-20241001-WA0071.mp4
    685 KB
  • VID-20241001-WA0072.mp4
    4.9 MB
  • VID-20241001-WA0073.mp4
    866.2 KB
Jana Israel kachapika sana halafu sijui mbeya gani akaamua kuweka mambo live maana kwenye live huwezi KU EDIT.Kitu nilichogundua Iran ana silaha zenye nguvu na kazi zaidi ya hizi,ukiangalia mashambulizi ya April na haya Iran 🇮🇷 anampiga Israel kulingana na kosa alilofanya.Nakuhakikishia kama Israel 🇮🇱 akijibu halafu mabasha zake wakajisahau Iran 🇮🇷 atamtwangwa zaidi ya jana,USA 🇺🇸 asiingilie tuone nani atapiwa.ALICHOKIFANYA IRAN JANA NI KUMWAMBIA BABA MKWE (USA) NAENDA KUMKAZA MWANAO NA KWELI MWANAE AKAKAZWA KISAWASAWA
80% of Iran missile hit the target.

View: https://youtu.be/LNmeQgv4ECE?si=sIhwi0iKbEOla1Du

80-90% ya makombola yalipita na kupiga sehemu husika.
 
Attachments

  • Screenshot_20241002-112711.png
    Screenshot_20241002-112711.png
    125.2 KB · Views: 4
Hii ni iron dome au plastic dome? Mbona missile zinafumua kama hamna Air defence? Iran hawakulenga tu makazi ya watu wamelenga military Airbase wangeamua kulenga makazi ya watu wangechinja maelfu ya raia.

Siku siyo nyingi watapiga makazi ya watu
Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
 
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!

Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!

Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds​

Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.

Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Picha na video ..?
 
Netanyahu kazimiwa simu na Putin inaonekana alitaka kujua tu ayo mauwa kutoka Iran aletewiyeye baada ya kuona simu aipokelewi machale yakamcheza akaona mauwa yatakuwa yake zawadi yake ujibu mauwa aliowapelekea wenzie uko Lebanon aona asepe kwa mjomba wake w India kwanini alichagua India alaka alaka alitaka kuongea na Putin so India lengo lake lingetimia mana sim moja ya vaj w India Putin lazima apokee mshilkawake muimu akaungia Netanyahu juu kwajuu naomba kukusalimia mzee Putin shikamooo et ayo mauwa yalikuwa yangu 🤪🤪🤪🤪
 
Jana Israel kachapika sana halafu sijui mbeya gani akaamua kuweka mambo live maana kwenye live huwezi KU EDIT.Kitu nilichogundua Iran ana silaha zenye nguvu na kazi zaidi ya hizi,ukiangalia mashambulizi ya April na haya Iran 🇮🇷 anampiga Israel kulingana na kosa alilofanya.Nakuhakikishia kama Israel 🇮🇱 akijibu halafu mabasha zake wakajisahau Iran 🇮🇷 atamtwangwa zaidi ya jana,USA 🇺🇸 asiingilie tuone nani atapiwa.ALICHOKIFANYA IRAN JANA NI KUMWAMBIA BABA MKWE (USA) NAENDA KUMKAZA MWANAO NA KWELI MWANAE AKAKAZWA KISAWASAWA
Mkuu kuwa na akiba ya maneno.
 
Wala hakuna haja ya kubisha. Mnadai Israel kashambuliwa kaumizwa, mara F-35 zimeharibiwa, airbases zimepigwa, mara Mossad HQ imeshambuliwa wakati ipo intact.

Israel ikitoa majibu mtaona F-35 hizohizo zinatumika, airbases zinafanya launches and landings, Mossad HQ inahusika kazini na kilio mtakipata uko kwingine. Picha na video zitatumwa kisha tujadili kwa mlinganyo.

Ilianza Hamas kwa vifijo, ikazima. Ikaja Hezbollah na mbwembwe nyingi, sasa haina hata kiranja. Sasa hii Iran ipeni kichwa.
 
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!

Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!

Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds​

Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.

Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Mtambo unaenda kuboreshwa, sasahv hata wakituma buku kwa dakika Yana haribiwa ,myaudi kashindikanika pale mashariki kanchi kadogo lakini mziki wake mpaka huku bongo tuna usikia
 
Wala hakuna haja ya kubisha. Mnadai Israel kashambuliwa kaumizwa, mara F-35 zimeharibiwa, airbases zimepigwa, mara Mossad HQ imeshambuliwa wakati ipo intact.

Israel ikitoa majibu mtaona F-35 hizohizo zinatumika, airbases zinafanya launches and landings, Mossad HQ inahusika kazini na kilio mtakipata uko kwingine. Picha na video zitatumwa kisha tujadili kwa mlinganyo.

Ilianza Hamas kwa vifijo, ikazima. Ikaja Hezbollah na mbwembwe nyingi, sasa haina hata kiranja. Sasa hii Iran ipeni kichwa.
Kinyonge sana sio kawaidayako 🤣🤣
 
Wewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
We kweli ni FALA aisee.
Kwahiyo mitambo ya iron dome inafanya kazi kwa wakati tofauti!??
Mitambo ya iron dome hain ufanisi wa kuzuia hypersonic missiles.
Na jana Iran ametumia makombora mengi ya hypersonic.
 
Back
Top Bottom