Video zimetumwa toka juzi.Israel akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Umeletewa link ya habari kutoka skynews.
Bro are you out of your damn mind!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video zimetumwa toka juzi.Israel akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Kambi sawa zitarekebishwa,F-35 zitaletwa mpya kutoka USA hilo linafahamika na makao makuu yatajengwa upya.Wala hakuna haja ya kubisha. Mnadai Israel kashambuliwa kaumizwa, mara F-35 zimeharibiwa, airbases zimepigwa, mara Mossad HQ imeshambuliwa wakati ipo intact.
Israel ikitoa majibu mtaona F-35 hizohizo zinatumika, airbases zinafanya launches and landings, Mossad HQ inahusika kazini na kilio mtakipata uko kwingine. Picha na video zitatumwa kisha tujadili kwa mlinganyo.
Ilianza Hamas kwa vifijo, ikazima. Ikaja Hezbollah na mbwembwe nyingi, sasa haina hata kiranja. Sasa hii Iran ipeni kichwa.
Israel inasaidiwa na USA,UK,France na Germany.Mtambo unaenda kuboreshwa, sasahv hata wakituma buku kwa dakika Yana haribiwa ,myaudi kashindikanika pale mashariki kanchi kadogo lakini mziki wake mpaka huku bongo tuna usikia
Israel yupo vitan na Palestine, Lebanon Yemen Syria Iran na waturuki bado wanawasaidia bado urussi bado china, unataka nayy asisaidiwe we vipi, kanchi kadogo sana lakini kanapambana bila kuchoka na manchi makubwa makubwa, Israeli hata kama inasaidiwa lakini bado nimwambaIsrael inasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
Pasi na hayo mataifa Israel isingesalia hapo.
Chukulia mfano kundi la hizbollah tu lilipoanza mashambulizi makubwa USA imetuma msaada wa $ 8 billions wa kijeshi.
Hata tukio la Iran USA amesaidia kudungua yale makombora ya Iran kwenda Israel.
Israel ni mweupe.
PUnguzen kushinda misikitini akil zenu ziwarudie, wewe pia hujajua hata ulichoandika nyamafu kabisa weweWe kweli ni FALA aisee.
Kwahiyo mitambo ya iron dome inafanya kazi kwa wakati tofauti!??
Mitambo ya iron dome hain ufanisi wa kuzuia hypersonic missiles.
Na jana Iran ametumia makombora mengi ya hypersonic.
We kweli nguruwe pori.PUnguzen kushinda misikitini akil zenu ziwarudie, wewe pia hujajua hata ulichoandika nyamafu kabisa wewe
Wewe nguruwe wa bandani ,mimi sina hata haja ya kwenda koote huko.kasome post ya mleta uzi, kisha soma jibu langu halaf soma responce yako ndio uone kuwa hizo biashara za madini mnazofanya zinawaharibu sana akili, sijui majini yamewatawala humo vichwan????We kweli nguruwe pori.
Nenda katizame specification za iron dome na nenda katizame specification za hypersonic missile.
Punguza upunguani kijana.Israel yupo vitan na Palestine, Lebanon Yemen Syria Iran na waturuki bado wanawasaidia bado urussi bado china, unataka nayy asisaidiwe we vipi, kanchi kadogo sana lakini kanapambana bila kuchoka na manchi makubwa makubwa, Israeli hata kama inasaidiwa lakini bado nimwamba
Ona huyu warthog dunderhead.Wewe nguruwe wa bandani ,mimi sina hata haja ya kwenda koote huko.kasome post ya mleta uzi, kisha soma jibu langu halaf soma responce yako ndio uone kuwa hizo biashara za madini mnazofanya zinawaharibu sana akili, sijui majini yamewatawala humo vichwan????
Akiwajibu njoo pia utangaze madhara ya IDF. Usikimbilie UN au ICCUkitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds
Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Nafikiri hata misahafuna juzuu wewe huku fuzu kama kichwa chako ni kigumu namna hii.Ona huyu warthog dunderhead.
Alichozungumza mleta mada na vyangu vinashabihiana na hakuna ambacho kimekosea.
Embu soma kwa kutulia.
Chanika huko Kuna Range za siri nyingi, nenda katandike Shabaha kijana.acha uchochezi
Huna hoja uwe na asubuhi njema.Nafikiri hata misahafuna juzuu wewe huku fuzu kama kichwa chako ni kigumu namna hii.
Katawadhe uswali sheikh ukamate tasbih ndio kaz pekee u r tallented to comprehend
Sio kinyonge bali muda utaongea. Uongozi mzima wa Hezbollah hamna, uongozi wa Hamas kabaki mmoja mafichoni, Iran inapoteza hata Brigadier General, Gaza hairushi tena roketi.Kinyonge sana sio kawaidayako 🤣🤣
mimi ni kiibodi woria, niko getoni Mvuti nikitangazia live yanayojiri mido istiChanika huko Kuna Range za siri nyingi, nenda katandike Shabaha kijana.
Kosugi Heb ona hapa, huyu ndugu kwa mwandiko huu ni waz kuwa fikra yake kuhumu iron dome ni mtambo MMOJA. Umeelewa au hujaelewa, maana hayo sio maneno yangu soma vyema alichoandika huyo dogo.Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Hapa anazid kusisitiza kuwa mtambo mmoja,Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika,
Hapa anasisitiza zaid kuwa hayo makombora 10 ya Iran yanazuiwa na mtambo mmoja tu akifikiri hayo makombora 10 yenyewe yamefyatuliwa na mtambo mmoja kumbe zaid ya mtambo mmoja hukoo iran.ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Hutaki kuelewa ndio shidaHuna hoja uwe na asubuhi njema.
Kwahiyo Hamas na Hezbollah wanatumia Makende kulipua?Punguza upunguani kijana.
Palestina ina jeshi!?
Hamas imekua jeshi!?
Hamas ni wanamgambo kichaa wewe.
Syria haipigani na Israel,kama una ushahidi lete hapa,Lebanon jeshi lake halihusiki na mashambulizi ya hizbollah.hizbollah ni wanamgambo sio jeshi.Hivyo vikundi vinasaidiwa na Iran peke yake.
Uturuki hajawahi na hajihusishi na vita za middle east acha uzwazwa.
Russia na China hawajihusishi na hizo vita.
Russia ana yake anapambana nayo Ukraine muda huu.
Muda mwingine kama hujui kitu usiongee kijanam
Walikuwa wanatafuta kichwa ya huyo jeuri.Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds
Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!