Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Utadhani iron dome zipo nyingi.. iron dome ipo moja tu, tena inazuia makombora madogo sio hizo ballistic missiles
 
I
Iran ana BMs nyingi Middle East, Israel analijua hilo ndiyo maana hawezi jibu
anajua Iron Dome haifui dafu tena kwa Fattah, anajua akijibu, Tel Aviv inakuwa Gaza-2
Iron dome haihusiki kabisa kwenye kuzuia ballistic missiles 😅
 
Kiongozi, kwenye vita hakuna cha arrow wala iron dome wala s400 wala Patriot...

90% ya missiles zimepiga shabaha Israel..

Hizi tech ni uhuni tu na kuji mwambafy lakini ubora ni wa maabara tu...

Israel kama inakubali hizo arrow systems ajibu mapigo halafu uone moto wake kama hizo arrow zitakuwepo au zimekwenda likizo...

Hypersonic ni mziki mwingine...
Hypersonic inakuja huku inakwepa air defenses na hapo speed ni mach 5 plus... Air defense inaachia interceptor dude hili hapa usoni, ogopa sana missile inatembea 1mile per one second , maili moja sekunde moja, maili 60 hio ni dakika...


Tuacheni propaganda...
 
Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
Mnajua kujipendekeza sana.Russia siyo mzungu?. Ubinadamu gani anafanya kwa Ukraine?.
 
Unasifia ujinga now. Mbona vimondo vilitua shule. Sema Israel wakisikia tahadhali yoyote wamejifunza kujilinda na hiyo wanafundishwa tona wanaanza kutembea.kama watoto wa kuku tu wakisikia mama kalia mlio wa hatari fasta wanajificha
 
Unasifia ujinga now. Mbona vimondo vilitua shule. Sema Israel wakisikia tahadhali yoyote wamejifunza kujilinda na hiyo wanafundishwa tona wanaanza kutembea.kama watoto wa kuku tu wakisikia mama kalia mlio wa hatari fasta wanajificha
Huelewi mengi.
Israel ni nchi kama nchi zingine, wana kazi za kujenga taifa lao, wana viwanda vingi, wana tech companies za kutosha, kuna vyuo, shule, sehemu za starehe n.k....

Wanakwenda kazini na kurudi kama ilivyo Dar pilika za asubuhi watu kwenda kazini kurudi majumbani jioni, sasa kama unafikiri wao ni wazee wa kukaa muda wote wapo nyumbani wakiwa na tahadhari kwamba missiles zinakuja pole sana....

Ndio maana nasema kama ni suala la kulenga raia wanalengwa tu, mmepanda gari public transport mnatoka kazini kwenda nyumbani, missiles inapiga barabarani mlipo mtakimbia wapi?

Uaifikiri maisha yao ni kwenye mahandaki.

Iran haishindwi kulenga makazi elewa,
 
Halafu wewe ni:

taahira

mtu aliyepumbaa akili

Kisha wewe ni:

mwehu

mtu aliyechanganyikiwa, ambaye vitendo vyake vinafanana na vya mwendawazimu


Huu uongo kombora likishaingia kwenye anga lako linatakiwa litunguliwe sababu hujui litaenda kuangukia wapi
 
Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
Ubinadamu upi huo?! Kufadhili makundi ya kigaidi kama Hamas na Hezbollah ndio ubinadamu?
 
Kwamba wewe ulikuwepo ukaona hayajapiga sehemu nyeti? Speed ya Iron Dome na Hypersonic missiles ni mbingu na ardhi.

Ndio maana huwa inapelekewa dummy missiles, wakati inahangaika na dummy huku vyuma vyenyewe vinamwaga maji😂 na hicho ndicho kilichotokea na 80% zime hit targets. Ingekuwa hamna maafa Nyetanyau asingepiga mkwala.
 
Target zipi tuambie hapa tuzione na kwa ushahidi wa picha 🤣
 
Bro usitudanganye hapa hauongei na watoto.
Most of Iranian missiles hit the target.
80% yali hit target na kuleta madhara kwenye miundombinu na hata video tuliziona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…