Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Simple arithmetic unashindwa kuing'amua bro!?
Juzi Iran alirusha makombora mangapi katika kila!?
Alirusha ballistic na hypersonic kwa wakati mmoja katika duru 3+ za mashambulizi.
Iron dome zipo ngapi!?
Pia inachukua muda gani hadi ku reload missile interceptors ndani ya iron dome!?
Iran alirusha ballistics kwaajili ya kuzi overwhelm iron dome kesha akafyatua na strategic hypersonic missiles kulenga target.
Utadhani iron dome zipo nyingi.. iron dome ipo moja tu, tena inazuia makombora madogo sio hizo ballistic missiles
 
I
Iran ana BMs nyingi Middle East, Israel analijua hilo ndiyo maana hawezi jibu
anajua Iron Dome haifui dafu tena kwa Fattah, anajua akijibu, Tel Aviv inakuwa Gaza-2
Iron dome haihusiki kabisa kwenye kuzuia ballistic missiles 😅
 
Ngoja nieke kitu sawa, Anga la israel linalindwa na safu tatu, Arrow systems(1,2,3), David's sling na ya mwisho ndio hio "iron dome". Makombora ya masafa marefu yanayopita umbali wa juu sana yanazuiwa na arrow system, ya saizi ya kati na David's sling, na makombora madogo short range yanazuiwa na iron dome. Iron dome haiwezi kuzuia ballistics missile hivo yanazuiwa na arrow system. Makombora yaliorushwa na iran yalikuwa ni hypersonic ballistic missiles kwahiyo mengi yalizuiwa na arrow system na sio iron dome, teknolojia ya arrow system itaruhusu bomu lipite kama litaenda kutua sehemu ambayo haina shida, bomu kama linaenda kutua katikati ya jangwa haina haja ya kulizuia. Mabomu mengi ya iran yalitua jangwani, mengine kwenye open space tu, yaliolenga kwenye makazi yalizuiwa
Kiongozi, kwenye vita hakuna cha arrow wala iron dome wala s400 wala Patriot...

90% ya missiles zimepiga shabaha Israel..

Hizi tech ni uhuni tu na kuji mwambafy lakini ubora ni wa maabara tu...

Israel kama inakubali hizo arrow systems ajibu mapigo halafu uone moto wake kama hizo arrow zitakuwepo au zimekwenda likizo...

Hypersonic ni mziki mwingine...
Hypersonic inakuja huku inakwepa air defenses na hapo speed ni mach 5 plus... Air defense inaachia interceptor dude hili hapa usoni, ogopa sana missile inatembea 1mile per one second , maili moja sekunde moja, maili 60 hio ni dakika...

Tuacheni propaganda...
 
Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
Mnajua kujipendekeza sana.Russia siyo mzungu?. Ubinadamu gani anafanya kwa Ukraine?.
 
Iran hailengi raia. Huo ndio ukweli.
Iran ikitaka kumaliza raia Israel inaweza shambulia masaa ya kazi watu wapo kwenye towers, ghorofani au vituo vya usafiri kama airport, bus stations n.k

Halafu mashambulizi yakawa ya kushtukiza, kumbuka wana missiles zinafika Israel ndani ya dkk chache.

Mtu yupo ghorofa ya 20, atakimbia sa ngapi kwenye basement? Hospitalini , viwandani n.k...

Hakuna zoezi rahisi kama kulenga raia, usije kujidanganya eti mahandaki.

Mnaweza hata kushabuliwa night clubs, bar n.k...
Unasifia ujinga now. Mbona vimondo vilitua shule. Sema Israel wakisikia tahadhali yoyote wamejifunza kujilinda na hiyo wanafundishwa tona wanaanza kutembea.kama watoto wa kuku tu wakisikia mama kalia mlio wa hatari fasta wanajificha
 
Huelewi mengi.
Israel ni nchi kama nchi zingine, wana kazi za kujenga taifa lao, wana viwanda vingi, wana tech companies za kutosha, kuna vyuo, shule, sehemu za starehe n.k....

Wanakwenda kazini na kurudi kama ilivyo Dar pilika za asubuhi watu kwenda kazini kurudi majumbani jioni, sasa kama unafikiri wao ni wazee wa kukaa muda wote wapo nyumbani wakiwa na tahadhari kwamba missiles zinakuja pole sana....

Ndio maana nasema kama ni suala la kulenga raia wanalengwa tu, mmepanda gari public transport mnatoka kazini kwenda nyumbani, missiles inapiga barabarani mlipo mtakimbia wapi?

Uaifikiri maisha yao ni kwenye mahandaki.

Iran haishindwi kulenga makazi elewa,
 
Halafu wewe ni:

taahira

mtu aliyepumbaa akili

Kisha wewe ni:

mwehu

mtu aliyechanganyikiwa, ambaye vitendo vyake vinafanana na vya mwendawazimu

Nimeona video. Makombora yalioanguka hayakutengeneza second explosions hii inamaana yalianguka katika mchanga na sio katika millitary target.
Israel hua hadungui kila kombora wakilifatilia kombora wakiona litaenda kuangukia katika eneo lisilo la kiraia au eneo la wazi huwa wanayaacha hayo makombora yaanguke. Mfumo unatumia gharama kubwa ku intercept. Ndo maana unaona makombora yaliachwa..
Huu uongo kombora likishaingia kwenye anga lako linatakiwa litunguliwe sababu hujui litaenda kuangukia wapi
 
Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
Ubinadamu upi huo?! Kufadhili makundi ya kigaidi kama Hamas na Hezbollah ndio ubinadamu?
 
Iron Dome- Makombora ambayo itaona kuwa yatadondoka kwenye majengo au sehemu zenyewe watu na mali ndo huyadondosha- na Pia Israel GPS/Google Map sehem sensitives azisomi na Makombora ya Iran ni GPS Guided. So Yamepotea Mengi(Kwa kukosa GPS directives) na yale yaliofanikiwa kupiga sehemu nyeti Iron Dome aliyawai.
Kwamba wewe ulikuwepo ukaona hayajapiga sehemu nyeti? Speed ya Iron Dome na Hypersonic missiles ni mbingu na ardhi.

Ndio maana huwa inapelekewa dummy missiles, wakati inahangaika na dummy huku vyuma vyenyewe vinamwaga maji😂 na hicho ndicho kilichotokea na 80% zime hit targets. Ingekuwa hamna maafa Nyetanyau asingepiga mkwala.
 
Target zipi tuambie hapa tuzione na kwa ushahidi wa picha 🤣
 
Ngoja nieke kitu sawa, Anga la israel linalindwa na safu tatu, Arrow systems(1,2,3), David's sling na ya mwisho ndio hio "iron dome". Makombora ya masafa marefu yanayopita umbali wa juu sana yanazuiwa na arrow system, ya saizi ya kati na David's sling, na makombora madogo short range yanazuiwa na iron dome. Iron dome haiwezi kuzuia ballistics missile hivo yanazuiwa na arrow system. Makombora yaliorushwa na iran yalikuwa ni hypersonic ballistic missiles kwahiyo mengi yalizuiwa na arrow system na sio iron dome, teknolojia ya arrow system itaruhusu bomu lipite kama litaenda kutua sehemu ambayo haina shida, bomu kama linaenda kutua katikati ya jangwa haina haja ya kulizuia. Mabomu mengi ya iran yalitua jangwani, mengine kwenye open space tu, yaliolenga kwenye makazi yalizuiwa
Bro usitudanganye hapa hauongei na watoto.
Most of Iranian missiles hit the target.
80% yali hit target na kuleta madhara kwenye miundombinu na hata video tuliziona.
 
Back
Top Bottom