Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Kambi sawa zitarekebishwa,F-35 zitaletwa mpya kutoka USA hilo linafahamika na makao makuu yatajengwa upya.

Ila wewe jamaa huwa hukosi sababu,si wewe juzi ulisema Iran na makombora yake yasiyo na madhara haina cha kufanya!?
Mkuu huwa napendaga kujadiliana na wewe kwasababu una accuracy kubwa ya kujadili hoja,Iran sio Hizbollah na wala sio Hamas.
Iran ni nchi kamili na ina jeshi kamili na ina kila aina ya silaha ambayo Israel anayo.
Hata katika rank ya majeshi Iran yupo juu ya Israel,je uongo!?
Pia nilichogundua Iran inapiga kulingana na makosa,Ile mwezi May alitumia drone za taratibu na makombora mepesi,ila awamu hii katuma full ballistic na hypersonic missiles zilizotembea dakika 15 kwa kilometa 2000.
Sasa tunataka ajibu huyo Israel halafu tuone Iran itachomfanya.
Hivi una habari mkuu kama jana tu Israel imepoteza askari 14 walipojaribu kuingia ndani ya Lebanon kwa kupigwa na hizbollah!??
 
Mtambo unaenda kuboreshwa, sasahv hata wakituma buku kwa dakika Yana haribiwa ,myaudi kashindikanika pale mashariki kanchi kadogo lakini mziki wake mpaka huku bongo tuna usikia
Israel inasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
Pasi na hayo mataifa Israel isingesalia hapo.
Chukulia mfano kundi la hizbollah tu lilipoanza mashambulizi makubwa USA imetuma msaada wa $ 8 billions wa kijeshi.
Hata tukio la Iran USA amesaidia kudungua yale makombora ya Iran kwenda Israel.
Israel ni mweupe.
 
Israel yupo vitan na Palestine, Lebanon Yemen Syria Iran na waturuki bado wanawasaidia bado urussi bado china, unataka nayy asisaidiwe we vipi, kanchi kadogo sana lakini kanapambana bila kuchoka na manchi makubwa makubwa, Israeli hata kama inasaidiwa lakini bado nimwamba
 
We kweli ni FALA aisee.
Kwahiyo mitambo ya iron dome inafanya kazi kwa wakati tofauti!??
Mitambo ya iron dome hain ufanisi wa kuzuia hypersonic missiles.
Na jana Iran ametumia makombora mengi ya hypersonic.
PUnguzen kushinda misikitini akil zenu ziwarudie, wewe pia hujajua hata ulichoandika nyamafu kabisa wewe
 
We kweli nguruwe pori.
Nenda katizame specification za iron dome na nenda katizame specification za hypersonic missile.
Wewe nguruwe wa bandani ,mimi sina hata haja ya kwenda koote huko.kasome post ya mleta uzi, kisha soma jibu langu halaf soma responce yako ndio uone kuwa hizo biashara za madini mnazofanya zinawaharibu sana akili, sijui majini yamewatawala humo vichwan????
 
Punguza upunguani kijana.
Palestina ina jeshi!?
Hamas imekua jeshi!?
Hamas ni wanamgambo kichaa wewe.
Syria haipigani na Israel,kama una ushahidi lete hapa,Lebanon jeshi lake halihusiki na mashambulizi ya hizbollah.hizbollah ni wanamgambo sio jeshi.Hivyo vikundi vinasaidiwa na Iran peke yake.
Uturuki hajawahi na hajihusishi na vita za middle east acha uzwazwa.
Russia na China hawajihusishi na hizo vita.
Russia ana yake anapambana nayo Ukraine muda huu.
Muda mwingine kama hujui kitu usiongee kijanam
 
Ona huyu warthog dunderhead.
Alichozungumza mleta mada na vyangu vinashabihiana na hakuna ambacho kimekosekanika.
Embu soma kwa kutulia.
 
Akiwajibu njoo pia utangaze madhara ya IDF. Usikimbilie UN au ICC
 
Kinyonge sana sio kawaidayako 🤣🤣
Sio kinyonge bali muda utaongea. Uongozi mzima wa Hezbollah hamna, uongozi wa Hamas kabaki mmoja mafichoni, Iran inapoteza hata Brigadier General, Gaza hairushi tena roketi.

Mlianza mnaisema Hamas inawamaliza Wayahudi huku Hezbollah na Iran zikitoa onyo, ghafla Hamas ikazima mkaitelekeza mkahamishia majukumu kwa Hezbollah na Iran ikaendelea kutoa onyo, ghafla Hezbollah zikaanza pagers kulipuka zikafuata strikes. Mkahamisha matumaini kwa Iran.

Ipe muda Iran si imeshambulia na makombora 200. Israel ikitumia hata 50 fanya mlinganyo
 
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Kosugi Heb ona hapa, huyu ndugu kwa mwandiko huu ni waz kuwa fikra yake kuhumu iron dome ni mtambo MMOJA. Umeelewa au hujaelewa, maana hayo sio maneno yangu soma vyema alichoandika huyo dogo.
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika,
Hapa anazid kusisitiza kuwa mtambo mmoja,
ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Hapa anasisitiza zaid kuwa hayo makombora 10 ya Iran yanazuiwa na mtambo mmoja tu akifikiri hayo makombora 10 yenyewe yamefyatuliwa na mtambo mmoja kumbe zaid ya mtambo mmoja hukoo iran.

SAsa ndio nakuambia, Iron dome ni set ya mitambo. Yaan ni zaid ya mtambo mmoja hivyo set nzima ina fire back a stream of missiles to counter the projected bm's .
 
Sasa rai wako kwenye mahandak watakufaje wakat wana ving'ora lukuki vya kuwapa taarifa.. unafikiri wangekuwa kwenye hayo maeneo yaliopigwa wasingekufa...

Kutokufa kwa raia ni ni sababu ya miundo mbinu israel alioweka ili kufanya vifo vya raia vipungue kadiri inavyowezekana.. sio swala la roho nzuri za iran. Bomu likishapigwa anaerusha hana uwezo wa kukua wakat huo hapo mahali kuna watu au hakuna na hana uhakika wa 100% mabomu yote yatatua sehem sahihi..

Iran angekuwa na roho nzuri ya kutaka asiue raia angepiga bomu baharini..

We angalia video ya yule mpaleatina alieuawa .. hajalipulikiwa na bomu bomu limelipuka angani, mabak
Yamemuangukia amekufa.. .

Maana yake angekuwa kwenye handaki asingekufa, sema ndo alivyopangiwa kuondoka.
israel mabomu yake yanavyoua raia ni sababu ya miundo mbinu ya eneo husika base za jeshi liko too close na raia..

Mfano tanzania tupigane vita, adui akiamua kulipua base za jeshi zilivyokuwa karibu na makaz ya watu lipigwe bomu lenye ku cover 100 radius unategemea usiwe na vifo vya raia?
 
Kwahiyo Hamas na Hezbollah wanatumia Makende kulipua?
 
Walikuwa wanatafuta kichwa ya huyo jeuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…