Mkuu unataka kuzisema na David sling na Arrow 3 nazo ni dhaifu!?Mashambulizi ya juzi air defense systems zote zilikuwa activated.
Naona mnaishabulia Iron dome pekee ambayo ni short range.
Vipi ufanisi wa David & Arrow 3?
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kuzisema na David sling na Arrow 3 nazo ni dhaifu!?Mashambulizi ya juzi air defense systems zote zilikuwa activated.
Naona mnaishabulia Iron dome pekee ambayo ni short range.
Vipi ufanisi wa David & Arrow 3?
Nimeuliza tu.Mkuu unataka kuzisema na David sling na Arrow 3 nazo ni dhaifu!?
😂😂😂
Israel inapaswa kujitafakari sana sana huu mwendo wanaoenda naoUkitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds
Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Ziko ngapi hizo maiti mkuu?Israel inapaswa kujitafakari sana sana huu mwendo wanaoenda nao
Nimeona footage huko X chopa zinabeba maiti na majeruhi wa vita yake na Hezbollah.
Hapo umeshagawa majukumu kwa vijana then umeenda site nyingine.niko nimejifungia Msongola huku, nikihabarisha yanayotokea Nevatim
Hamas haivamii tena sasa hivi au hata baadae!?Tukio la 2021 si mlisema hivi hivi Hamas haitavamia tena?Mbona Oktoba 7 ikavamia tena!?Hezbollah command centre hairekebishiki. Maofisa wa Iran hawarudi, maofisa wa Hezbollah hawarudi, Hamas haivamii tena.
Acha UONGO mkuu sitarajii wewe uongope namna hii,kila mtu aliona video na picha humu ndani kuwa Nevatim airbase ililipuliwa na kuna majengo mengi yalilipuliwa ikiwemo ya shule.Uongo hauna faida bro kila mtu aliona majengo yaliyoharibika ndani ya Israel.Bado yajayo kwa Iran hanafurahisha.
Makao makuu gani yalipigwa? Kila kilichopigwa na Israel picha zipo, nipe evidence makao makuu yamepigwa. Makombora yalikuwa yanajidondokea bila shabaha halisi.
Hapa niongee kwa kifupi tu.F-35 Israel inanunua, au onyesha ni fighter jets gani "zililetwa Israel" bila Israel kutoa hela. Na zinaletwa za nini wakati hamna zilizoharibika.
Kwanza F-35 za Israel ni za kipekee kuliko F-35 nyinginezo, ni 'Adir'. Haubebi ndege from nowhere ukaleta Israel zikatumika. Na nani atazitoa, na Lockheed Martin hawazifyatui bila order kama gari.
Utaona kama Israel itanunua ndege yeyote kabla haijaijibu Iran.
Makombora hayana mashara ndio. Cha kufanya ilikuwa nacho, ni kufyatua makombora yasiyo na madhara. Siku ile shambulizi la magaidi wawili kwa bunduki lilileta madhara makubwa kuliko shambulizi la makombora 200.
Iran haina fighter jets, haina refuering tanks, haina airlifters, haina air defence systems covering the vast country, haina nukes, haina subs.
Iran haifanani kwa lolote na Israel kijeshi. Iran ina jeshi limekazania kujihami, kujilinda. Israel ina jeshi linalosisitiza kushambulia. Kwa sera za Israel ni bora iwe na attack jets kuliko kuwa na interceptor jets.
Iran ina idadi ya wanajeshi wengi ambayo haina maana kwa mantiki hii sababu haipakani na Israel, sasa watapita wapi?
Pia ina makombora mengi na drones.
Kumbuka Israel haijawahi tumia ballistic missile wala ICBM labda cruise tu. Wote hawa watatumia anga kushambuliana na Iran haina air dominance.
Embu achana na assassination attempts zilizotokea nyuma.Askari 14 kwenye vita serious ni idadi ndogo sana labda uzungumzie vita njaa kama Vita ya Kagera. Hujaona casualties za Hezbollah na wala sio kila siku Israel itapoteza 14. Na kawaida ya invading forces inatarajiwa kupata casualties 3:1 kwa defending forces kama zina nguvu sawa. Ila sababu Israel ina nguvu, Hezbollah ndio watachakaa zaidi.
Muhusika naye kashindwa kazi aloo😂😂😂😂.Nimeuliza tu.
Maan naona kila mtu Iron dome imefail as if ilikuwepo peke yake.
Ballistic Missile mhusika mkuu ni Arrow 3.
wamepigwa sana tu, na wameumia. ni kitu kibaya. lakini cha kusikitisha ni kwamba, hakuna hata siku Moja marekani aliwahi kutamka wazi kwamba Israel ilipize ila iwe proportional. kipindi cha nyuma walikuwa wanawazuia, ila sasaivi wamesema anatakiwa kupiga iran, so any time watapiga na hawajui watapiga wapi. Iran amehaha, amesema yeye ameshapiga na hatapiga tena, manake anaogopa kuendelea kupigana. Jana Rais wa Iran kakimbilia Qatar ambao siku zote wamekuwa wasuluhishi, anaomba poo. alifikiri ni utani na baada ya kuona hata marekani imesema israel ipige, ameshaona kifo kinamjia.Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika, ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye yalifanikiwa kupenya!
Israeli air bases, school and locations near Mossad HQ hit, Sky News finds
Sky News has identified at least seven locations in Israel that were hit in Iran's missile attack. These include two Israeli air bases, a school grounds and two close to the area suspected of housing Mossad's HQ.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Nb:Tukumbuke hii ni biashara ya watu, tegemea kuwa utaambiwa mtambo umefanya kazi yake vizuri! Propaganda!
Unaamini makombora yote yali hit target?Muhusika naye kashindwa kazi aloo😂😂😂😂.
Lawama akatupiwa dogo iron dome.
Kumbuka na yeye ana Jericho-3.sisi tunatwanga hypersonic missiles tu hadi adate.
Mbona mfanano haulingani mkuu!?Unanipiga risasi nikiwa nimevaa bulletproof vest, vest inazuia alafu unasema una roho nzuri?
Israel inaimudu Iran ?sasa mameli ya Marekani yana tafuta nn hapo mashariki ya kati?Shambulio alilofanya Iran sio la mwanzo ni mwendelezo. Ni jibu la shambulio alilofanya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na maafisa wa Iran. Ambao walishirikiana kuishambulia Israel.
Chanzo cha yote haya ni mashambulizi ya axis of evil dhidi ya Israel. Kwahiyo mtulie kila mtu apewe dozi ya kiwango chake, ilianza Hamas, ikaja Hezbollah na sasa Iran.
Shambulizi la Israel dhidi ya Iran haiwezi kuwa uchokozi ni retaliation. Na hata mkidai hivyo bado Israel anaimudu Iran.
Muite T14 Armata akueleze.Nikuulize swali ,je wewe unajua kuwa mtambo mmoja wa Iron dome,una weza ku intercept missiles ngapi na ndani ya muda gani??
Maana hapo mleta uzi kasema out of 10, the iron dome takes out 1, how far can you go to provide us with a proof?
😀 😀 😀 fundi mchundo anagawa majukumu kiaje sasaHapo umeshagawa majukumu kwa vijana then umeenda site nyingine.
Iran ana makombora yenye kasi zaidi.US, Russia and China both develops hypersonic missiles.
Iran's Fattah-1 missile boasts a range of 1,400 kilometers (870 miles)
Israel's Jericho-3 range between 4,800km (2,983 miles) and 6,500km (4,039 miles).
Wengi wanaandika kiushabiki tu.Nikuulize swali ,je wewe unajua kuwa mtambo mmoja wa Iron dome,una weza ku intercept missiles ngapi na ndani ya muda gani??
Maana hapo mleta uzi kasema out of 10, the iron dome takes out 1, how far can you go to provide us with a proof?
Sawa hata kama Iko mingi, nilichosikia wataalamu wakisema ni kuwa anchofanya Iran ni kurusha makombora mengi kwa Wakati mmoja. Kwa hiyo hapo Kuna yatakayozuiwa na Kuna yatakayopenya. Hakuna teknolojia isiyo na udhaifu wake Mkuu. Hakuna.Wewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Yeye alitaka wallengwe raia ili iweje?Co lengo.
Chai.😀 😀 😀 fundi mchundo anagawa majukumu kiaje sasa
Ulikuwepo kiwandani bila shaka wakati yanatengenezwa.Iran ana makombora yenye kasi zaidi.
Ana varieties of missiles ambazo nyingine hajawahi kutumia hata siku moja.
Itadepend na unit ya hiyo radius. Kama ni mm, cm au in hata ft si rahisi kufa raia.Sasa rai wako kwenye mahandak watakufaje wakat wana ving'ora lukuki vya kuwapa taarifa.. unafikiri wangekuwa kwenye hayo maeneo yaliopigwa wasingekufa...
Kutokufa kwa raia ni ni sababu ya miundo mbinu israel alioweka ili kufanya vifo vya raia vipungue kadiri inavyowezekana.. sio swala la roho nzuri za iran. Bomu likishapigwa anaerusha hana uwezo wa kukua wakat huo hapo mahali kuna watu au hakuna na hana uhakika wa 100% mabomu yote yatatua sehem sahihi..
Iran angekuwa na roho nzuri ya kutaka asiue raia angepiga bomu baharini..
We angalia video ya yule mpaleatina alieuawa .. hajalipulikiwa na bomu bomu limelipuka angani, mabak
Yamemuangukia amekufa.. .
Maana yake angekuwa kwenye handaki asingekufa, sema ndo alivyopangiwa kuondoka.
israel mabomu yake yanavyoua raia ni sababu ya miundo mbinu ya eneo husika base za jeshi liko too close na raia..
Mfano tanzania tupigane vita, adui akiamua kulipua base za jeshi zilivyokuwa karibu na makaz ya watu lipigwe bomu lenye ku cover 100 radius unategemea usiwe na vifo vya raia?